Tabora Stand Up; Eid Mosi Wasanii Wafurika Hapatoshi
Shangwe na burudani za kutosha zinatarajiwa kufanyika katika sikukuu ya Eid hapo kesho mkoani Tabora panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Mashabiki mjini Tabora watarajiwa kufurahia onesho hilo katika maeneo mawili tofauti ambapo mchana itakuwa Bwalo la Polisi kuanzia saa 8 mchana na Usiku katika viwanja vya Muungano Mesi kuanzia saa 2 usiku.Wasanii wa kila nyanja wametua mjini hapo na kufanya mahojiano CG Fm Redio leo mchana; wasanii hao ni Kassim Mganga a.k.a tajiri wa mahaba, Ommy Dimpoz,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
EID MOSI DMV
















10 years ago
Vijimambo
MAMA SAMIA AFUNIKA TABORA, MAELFU WAFURIKA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI



10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi
chakula cha pamoja siku ya Eid Mosi coventry

11 years ago
Dewji Blog31 Jul
Skylight Band yafunika mbaya Eid Mosi ndani ya Escape One!
Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na Aneth Kushaba AK47.
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ukumbi wa Escape One.
Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakiachia kwenye dancing floor.
Sam Mapenzi akitoa burudani...
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
The Stars Band kuzinduliwa rasmi Eid Mosi ndani ya Mzalendo Pub
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’
Kiongozi wa Stars Band, Kushaba anasema kuwa, tayari wapo katika mazoezi mbalimbali na ‘crew’ nzima ya bendi hiyo ambayo inaunganisha...
11 years ago
GPL
SKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!
10 years ago
GPLMZEE YUSUF AZIKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SIKUKUU YA EID MOSI, DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
The Stars Band yazinduliwa rasmi siku ya Eid Mosi Mzalendo Pub, huku ikisindikizwa na FM Academia pamoja na Barnaba
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.
Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wake pamoja na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa uzinduzi...