ENOCK KUZINDUA ‘KIZUNGUZUNGU KIMEWAPATA’
![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp22dmOUaPrwJM1uLY7fz-rWVAE68Fydn6lJCQ8APU-HO3gOdPu8j43NuRk7hh4FvhQGW5JG1RV07uFwzTFibfc9U/enock.jpg)
Stori: Andrew Carlos MSANII mkubwa wa nyimbo za Injili, Enock Jonas anatarajia kuzindua video ya wimbo wake mpya wa Kizunguzungu Kimewapata katika Kanisa la EAGT Sinza Makaburini kesho Jumamosi, Agosti 9. Msanii mkubwa wa nyimbo za Injili, Enock Jonas akipozi. Akizungumza na Ijumaa, Enock anayetamba na wimbo wa Zunguka alisema uzinduzi huo utaanza saa mbili asubuhi na hakutakuwa na kiingilio.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
CCM kizunguzungu
WAKATI leo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikisherehekea miaka 37 ya kuzaliwa kwake, mashambulizi baina ya makada wake yamezidi kushika kasi. Mashambulizi hayo yanayolenga makundi ya urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
10 years ago
Bongo513 May
I’m still very single — Recho Kizunguzungu
9 years ago
Bongo512 Dec
Music: Lady Queen Ft Enock Bella – Chunga Mzigo
![Lady Queen 2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Lady-Queen-2-300x194.jpg)
Hii ni Track mpya kutoka kwa Lady Queen amemshirikisha kijana Enock Bella kutoka (Yamoto Band), Wimbo unaitwa “Chunga Mzigo”. Producer Shirko.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Makubwa mengine ya Enock Bella wa Yamoto Band ni haya…yanahusisha pilipili na maji
Enock Bella ni mwimbaji wa bandi ya Yamoto kutoka kwenye mikono ya mkubwa na wanae kundi linavijana wanne kila mmoja na kionjo chake cha sauti, usidhani ile sauti ya Enock wa yamoto band unayoisikia kwenye hits kadhaa imekuja tu hapana inalishwa pilipili Msanii huyo alikaa na ripota wa millardayo.com kwenye Exclusive siri ya sauti yake…kwenye […]
The post Makubwa mengine ya Enock Bella wa Yamoto Band ni haya…yanahusisha pilipili na maji appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSrUD3yvGNCSY8iy499-TadipdydVnOwekTNNJ9VXfTCzdJEL1OABB4XpnVisCWx7t1FqAMfJfPvedoDXsyeEFLq/2.jpg?width=650)
ENOCK SONTONGA NDIYE MTUNZI WA WIMBO WA ‘MUNGU IBARIKI AFRIKA’