Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ENOCK SONTONGA NDIYE MTUNZI WA WIMBO WA ‘MUNGU IBARIKI AFRIKA’

Enock Sontonga, JE, unamfahamu mtu aliyetunga sauti (melody) ya wimbo ambao leo Watanzania wanauita Wimbo wa Taifa?Huyu ni Enock Sontonga, raia wa Afrika Kusini, aliyetunga mashairi ya wimbo wa ‘Mungu Ibariki Afrika’ ambao kwa lugha moja ya Afrika Kusini unajulikana kama ‘Nkosi Sikelel’ iAfrika’.  Sontonga alizaliwa mwaka 1873 na kufariki Aprili 18, 1905.Sauti ya wimbo huo imetumiwa na nchi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Dogo Aslay:Mkubwa Fella ndiye mtunzi wa ngoma ya ‘nitakupwelepweta’

Mkali kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye utata ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya ‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said Fella’’Mkubwa Fella’’.Alisema kuwa ngoma hiyo siyo kwamba ujumbe wake wameimbiwa wanawake peke yao kama ambavyo watu wengi wanavyohani lakini pia wanaume watu wazima wenye tabia ya kutembea na wasichana na wavulana wenye umri...

 

11 years ago

GPL

MR NICE; MUNGU NDIYE ANAKUPANGIA MABAYA?

Mwanamuziki Nice Lucas Mkenda 'Mr Nice'. MMOJA wa wasanii waliopata kutamba sana katika muziki wa kizazi kipya ni Nice Lucas Mkenda , maarufu sana mitaani kama Mr Nice. Huyu, kwa wasiomfahamu ni miongoni mwa nyota wa mwanzo mwanzo kabisa wa Bongo Fleva kupata shoo nyingi, ndani na nje ya nchi miaka ile ya 2000. Jamaa siyo tu anajua kuimba, lakini zaidi alijua namna ya kulimiliki jukwaa, anaweza sana kucheza hasa ile staili ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Sitta: Mungu ndiye atakayenipigania

>Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema changamoto zote alizokutana nazo kabla na wakati wa Bunge Maalumu la Katiba anamuachia Mungu.

 

10 years ago

Mwananchi

Makinda: Mungu tu ndiye anamjua rais ajaye

Spika wa Bunge, Anne Makinda amewataka wabunge kujadili ripoti ya Escrow bila kuingiza hisia za uchaguzi mkuu ujao na ushabiki wa wagombea kwa kuwa rais ajaye Mungu pekee ndiye anayemjua.

 

11 years ago

BBCSwahili

Toure ndiye bora zaidi Afrika

Ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka mahiri Afrika

 

10 years ago

StarTV

Brahimi ndiye mwanasoka wa BBC Afrika 2014

Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika BBC mwaka huu amepatikana. Baada ya maelfu ya kura kuhesabiwa, mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi ndiye mshindi wa mwaka huu.

Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe wa 2014.

Aliingiza bao la ushindi dhidi ya mabingwa wa Hispania Barcelona, bao lengine la kisasa katika ligi ya mabingwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, Mwanamuziki Burna Boy, ndiye bora zaidi Afrika?

Mwanamuziki Burna Boy amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa nchini Nigeria baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye ndiye mwanamziki bora Zaidi.

 

11 years ago

GPL

ENOCK KUZINDUA ‘KIZUNGUZUNGU KIMEWAPATA’

Stori: Andrew Carlos MSANII mkubwa wa nyimbo za Injili, Enock Jonas anatarajia kuzindua video ya wimbo wake mpya wa Kizunguzungu Kimewapata katika Kanisa la EAGT Sinza Makaburini kesho Jumamosi, Agosti 9. Msanii mkubwa wa nyimbo za Injili, Enock Jonas akipozi. Akizungumza na Ijumaa, Enock anayetamba na wimbo wa Zunguka alisema uzinduzi huo utaanza saa mbili asubuhi na hakutakuwa na kiingilio.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani