Je, Mwanamuziki Burna Boy, ndiye bora zaidi Afrika?
Mwanamuziki Burna Boy amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa nchini Nigeria baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye ndiye mwanamziki bora Zaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Dec
9 years ago
Bongo526 Sep
Video: Burna Boy — Follow Me
9 years ago
Bongo520 Nov
Music: Navio Ft Burna Boy – Gbesile
Ugandan rapper, Daniel Lubwama Kigozi aka Navio, teams up with Nigerian singer, Burna Boy on this record titled “Gbesile”. This is the jam for this period and would
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo530 Nov
Music: Burna Boy feat. Wizkid – Single
Muimbaji Burna Boy wa Nigeria ameachia wimbo mpya uitwao ‘Single’ kutoka kwenye album yake ya pili ‘On A Spaceship’. Kwenye wimbo huo uliotayarishwa na producer Simba Tagz kamshirikisha Wizkid. Usikilize hapa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Burna-Boy-ft.-Wizkid-Single-prod.-Simba-Tagz.mp3Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...
5 years ago
OkayAfrica22 Feb
Burna Boy Announces 'Twice As Tall' World Tour Dates
9 years ago
Bongo524 Oct
Video: AKA Ft. Burna Boy, Khuli Chana, Yanga — Baddest
9 years ago
Bongo502 Dec
Video: Navio releases visuals for his latest song ‘Gbesile’ Ft. Nigeria’s Burna Boy
Ugandan rapper, Daniel Lubwama Kigozi aka Navio has released visuals for his latest collaboration with Nigerian singer, Burna Boy – “Gbesile”. Gbesile means hang up in Yoruba language which is one of the official language spoken in Nigeria.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo518 Mar
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao
9 years ago
Bongo501 Dec
Msanii wa Nigeria Burna Boy aponda mfumo wa muziki wa Nigeria, adai umejaa siasa
Muimbaji wa Dancehall kutoka Nigeria, Burna Boy ameponda mfumo wa muziki wa Nigeria na kudai kuwa umejaa siasa ndio sababu hapati tuzo nyingi anazostahili.
Akizungumza na jarida la Fader, Burna amesema kutokana na hayo anajiona kama yeye si sehemu ya muziki wa Nigeria kwasababu kuna baadhi ya watu walioutawala muziki huo wasiompenda.
“Kusema kweli ni siasa tupu, sijioni kama ni sehemu ya kiwanda cha muziki, angalia tuzo, sipati tuzo kwasababu wanaoutawala hawanipendi, mimi sio kama...