Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Burna Boy — Follow Me

Spaceship Entertainment wameachia video mpya ya msanii Burna Boy wimbo unaitwa “Follow Me” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: AKA Ft. Burna Boy, Khuli Chana, Yanga — Baddest

AKA puts out yet another A-List video; this time for the chart topping single ‘Baddest‘ featuring Burna Boy, Khuli Chana and Yanga. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Navio releases visuals for his latest song ‘Gbesile’ Ft. Nigeria’s Burna Boy

NAVIO-BURNABOYb21

Ugandan rapper, Daniel Lubwama Kigozi aka Navio has released visuals for his latest collaboration with Nigerian singer, Burna Boy – “Gbesile”. Gbesile means hang up in Yoruba language which is one of the official language spoken in Nigeria.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Navio Ft Burna Boy – Gbesile

Navio-–-Gbesile-ft-Burna-Boy-mp3-download

Ugandan rapper, Daniel Lubwama Kigozi aka Navio, teams up with Nigerian singer, Burna Boy on this record titled “Gbesile”. This is the jam for this period and would

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Burna Boy feat. Wizkid – Single

burna-boy

Muimbaji Burna Boy wa Nigeria ameachia wimbo mpya uitwao ‘Single’ kutoka kwenye album yake ya pili ‘On A Spaceship’. Kwenye wimbo huo uliotayarishwa na producer Simba Tagz kamshirikisha Wizkid. Usikilize hapa

burna-boy

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Burna-Boy-ft.-Wizkid-Single-prod.-Simba-Tagz.mp3

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

5 years ago

OkayAfrica

Burna Boy Announces 'Twice As Tall' World Tour Dates

Burna Boy Announces 'Twice As Tall' World Tour Dates  OkayAfricaBurna Boy Announces Tour  PitchforkBurna Boy records yet another loss  The Nation NewspaperView Full coverage on Google News

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, Mwanamuziki Burna Boy, ndiye bora zaidi Afrika?

Mwanamuziki Burna Boy amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa nchini Nigeria baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye ndiye mwanamziki bora Zaidi.

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao

Miongoni mwa wasanii wa muziki wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa hapa Tanzania ni pamoja na Vanessa “Vee Money” Mdee. Juhudi zake zimemsababisha kwa muda mfupi aliokuwepo kwenye muziki kuanza kupata deals kubwa za makampuni, matangazo, na video zake kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya TV za nje na sasa milango ya shows za nje inaendelea […]

 

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria Burna Boy aponda mfumo wa muziki wa Nigeria, adai umejaa siasa

Burna-Boy

Muimbaji wa Dancehall kutoka Nigeria, Burna Boy ameponda mfumo wa muziki wa Nigeria na kudai kuwa umejaa siasa ndio sababu hapati tuzo nyingi anazostahili.

Burna-Boy

Akizungumza na jarida la Fader, Burna amesema kutokana na hayo anajiona kama yeye si sehemu ya muziki wa Nigeria kwasababu kuna baadhi ya watu walioutawala muziki huo wasiompenda.

“Kusema kweli ni siasa tupu, sijioni kama ni sehemu ya kiwanda cha muziki, angalia tuzo, sipati tuzo kwasababu wanaoutawala hawanipendi, mimi sio kama...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Amaselly — Follow You

Amasery

Video mpya ya msanii Amaselly wimbo unaitwa “Follow You”. Video imeongozwa na Bwana Mtui

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani