Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ewura: Tunakamilisha mikataba elekezi

MAMLAKA ya udhibiti wa maji na nishati (Ewura), inakamilisha mikataba elekezi kwa wawekezaji wa nishati wakubwa na wadogo ili kupunguza gharama za muda wa majadiliano, imebainishwa jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watakaokiuka bei elekezi kukiona

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu ameagiza kuwa mnunuzi yeyote wa korosho atakayenunua zao hilo kwa wakulima chini ya Sh1,000 kwa daraja la kwanza na Sh800 kwa daraja la pili atakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kuwaibia wakulima.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA: Elekezi, tekelezi au telekezi?

Naam.  Ngoma ikipigwa, hata wengine waliosahau jinsi ya kucheza, ghafla wanaanza kutingisha.  Waliopenda ngoma za nje wanakumbuka za ndani.  Tehe tehe tehe.  Yaani, kwa miaka mingi, tulicheza ngoma nyingine.  Maana ya ziara ilieleweka kabisa.  Ni kwenda kukagua maofisi, maduka, masoko ya nje kisha kurudi na vitu lukuki ili kuendelea kuvikagua nyumbani.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi shule binafsi tayari

TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.

 

9 years ago

Mwananchi

Ada elekezi kufunga shule binafsi

Uamuzi wa Serikali kuandaa ada elekezi kwa vyuo, shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na watu binafsi au mashirika ya dini, unatarajiwa kuwaweka wamiliki wake katika wakati mgumu na huenda ukawa mwanzo wa mwisho wa baadhi ya shule.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi shule binafsi Januari

ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkombozi wa kilimo ni teknolojia, utaalamu elekezi

Aakiwa kwenye maonyesho ya wadau wa kilimo kwa nchi za Afrika Mashariki yaliyofanyika Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anasema Serikali imejipanga kuhakikisha inakifanya kilimo ni mkombozi wa kumuondoa mkulima kwenye umaskini.

 

9 years ago

Habarileo

DC aagiza semina elekezi kwa wenyeviti

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Methew Sedoyeka amewaagiza wakurugenzi watendaji wa Halmashauri ya Manispaa na Wilaya hiyo kuandaa semina elekezi kwa wenye viti wa serikali za vijiji, vitongoji na mitaa ili waweze kutambua majukumu yao na kuyatekeleza kwa ufanisi.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ada elekezi sasa kupangwa vyuoni



SERIKALI imeanza kufanya utafiti wa kina kwa kushirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kupanga ada elekezi kwa programu zote zinazofundishwa katika vyuo vikuu nchini.

Jenister Mhagama - Naibu Waziri, Elimu na Ufundi Imesema mwongozo wa ada elekezi ulizinduliwa rasmi Machi 13, mwaka huu, na kwamba ada mpya zitaanza kutumika baada ya utaratibu wa mfumo huo mpya kukamilika.


Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, alipokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanunuzi wa pamba watakiwa kufuata bei elekezi

BODI ya Pamba Tanzania (TCB), imesema mnunuzi atakayenunua pamba kwa bei chini ya bei elekezi, atakuwa anavunja sheria na taratibu zinazosimamia zao hilo. Mkurugenzi Mkuu wa TCB, Gabriel Mwalo, amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani