Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fahamu vyanzo vya fedha "anazotengeneza" Monalisa

Kuna baadhi ya mastaa wanaojua kuyatumia majina yao, kwani licha ya kuwa mwigizaji na mtangazaji wa redio, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ hafanyi kazi hizo pekee bali ana kampuni inayobeba tenda mbalimbali katika sekta za umma na binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Washauri kutafutwa vyanzo vipya vya fedha

Wajumbe wa Baraza la Wakilishi wameishauri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutafuta vyazo vyake vya fedha vitakavyoondoa utegemezi wa wahisani uliopo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA HAFLA YA UCHANGISHAJI FEDHA KWA AJILI YA UHIFADHI WA VYANZO VYA MAJI KATIKA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME YA MTERA, KIHANSI, KIDATU, NYUMBA YA MUNGU NA PANGANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Uchangishaji fedha kwa Uhifadhi wa vyanzo vya maji katika Mabwawa ya kuzalisha Umeme ya Mtera, Kihansi, Kidatu, Nyumba ya Mungu na Pangani. Hafla hiyo ilifanyika jana usiku Sept 28, 2015 kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa Mabibo Beer, Wines & Spirits na...

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MUWSA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (mwenye suti)akiwaongoza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi kutembelea vyanzo vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing.  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wavamia vyanzo vya maji vya Milima ya Amani Tanga.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Wakati Serikali ikiwa imepiga marufuku uvunaji wa misitu na uchimbaji wa madini kwenye vyanzo vya maji vya milima ya Amani, jitihada hizo zimeonekana kugonga mwamba baada ya shughuli hizo kuanza tena kwa kasi.

 

Shughuli za madini na uvunaji wa mbao katika milima ya Amani wilayani Muheza mkoani Tanga huenda zikasababisha ukosefu wa maji kuendelea katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na jiji la Tanga kwa ujumla.

 

Maji ni uhai na pia ni muhimu kwa maisha ya kila...

 

11 years ago

Mwananchi

Vyanzo vipya mapato vyakwamisha Muswada wa Sheria ya Fedha 2014

>Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014 umekwama kuwasilishwa bungeni jana kwa kutokana na Serikali kushindwa kueleza vyanzo vipya vya mapato badala yake kung’ang’ania ushuru katika soda, bia, sigara na pombe kali.

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAKUNGA ATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
DC Makunga akisikiliza kwa makini...

 

9 years ago

StarTV

Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga

Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.

Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.

Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema

Hakuna majibu ya moja kwa moja bali nadharia zinazojaribu kutegua kitendawili cha vifo vya vijana wenye afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani