Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAINALI BONGO STAR SEARCH 2015 IJUMAA HII KING SOLOMON HALL (EATERS POINT) NAMANGA DAR


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Modewjiblog live:Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani ya King Solomoni Hall Dar!

DSC_2743

Eneo la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingua fainali za Bongo Star Search (BSS 2015) hii ni muda huu mtandao wako wa www.modewjiblog.com tukiwa moja kwa moja tukikuletea matukjio yote ‘LIVE’. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

DSC_2622

Rommy Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia ndani ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka  na kitita kinono…

DSC_2634

DSC_2627

DSC_2637

DSC_2640

DSC_2682

DSC_2690

Wadada warembo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Dewji Blog

BONGO STAR SEARCH 2015: Kufanyika Oktoba 9 ndani ya King Solomoni Hall jijini Dar es Salaam

1 (3)

Mwandaaji  wa   Bongo Star Search, Rita Paulsen akizungumza na waandishi wa habari( hawapo pichani)  juu ya fainali ya (BSS) itakayofanyika Ijumaa ya Oktoba 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomoni Hall uliopo karibu na Nyumbani Lounge au Eaters Point  eneo la Namanga  kuanzia saa moja jioni kikao hicho kimefanyika leo Jiji Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei  Samson Majwala. 2 (2)  Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei, Samson Majwala  akisisitiza jambo katika...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH NA JINSI FAINALI HIYO ILIVYOKUWA

1Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma (katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa.24Baadhi ya mashabiki waliohudhuria ukumbini hapo wakifuatilia burudani hizo kwa makini.
Kayumba Juma wa jijini Dar es Salaam juzi usiku aliibuka mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search (BSS) kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani