MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH NA JINSI FAINALI HIYO ILIVYOKUWA
Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma (katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa.
Baadhi ya mashabiki waliohudhuria ukumbini hapo wakifuatilia burudani hizo kwa makini.
Kayumba Juma wa jijini Dar es Salaam juzi usiku aliibuka mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search (BSS) kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Oct
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Modewjiblog live:Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani ya King Solomoni Hall Dar!
Eneo la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingua fainali za Bongo Star Search (BSS 2015) hii ni muda huu mtandao wako wa www.modewjiblog.com tukiwa moja kwa moja tukikuletea matukjio yote ‘LIVE’. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).
Rommy Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia ndani ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka na kitita kinono…
Wadada warembo wa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2pwj5pwelPE/VhIfmYxCPQI/AAAAAAAAhh4/L1yG88nli4k/s72-c/BSS-Poster-A4.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-88-H-UXaMBI/VhZxlVBM_AI/AAAAAAAEAGM/eRQgP-cQA38/s72-c/854bf30ab22adf7e6e2e82bb61b49acb.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qlfqToA0E-g/default.jpg)
9 years ago
Habarileo11 Oct
Kayumba ashinda Bongo Star Search
MSHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Kayumba Juma ameibuka mshindi wa shindano la Bongo Star Search na kujinyakulia Sh milioni 50 na mkataba wa kusimamiwa kazi zake za sanaa wa thamani ya Sh milioni 10.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/K8DzZ9KhJWA/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8mdhZ9NZ5zg/default.jpg)