FANYA HIVI KUMPATA ANAYEKUFAA-2
![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx22VgQSVbRwpBANrUX6AZ1mtmB1QuWQfka*PRS6sTRvuxBFaXfBlt8y6ixBB7pv2PZ7E-hidlzsMqNIRSStMCgip/Lovez.jpg)
Karibu katika muendelezo wa mada yetu tuliyoanza wiki iliyopita, mada yetu inajieleza hapo juu.Tulijifunza wiki iliyopita kabla ya kutafuta atakayekufaa na kukupenda, wewe binafsi unapaswa kufanya yafuatayo; Jiepushe na makundi Umri wa kijana ndiyo pekee wenye changamoto nyingi sana katika uso wa dunia kama vile ; vishawaishi, tamaa, majaribu na mengineyo. Kama kijana unapaswa uchague watu wa kuwa nao usipende kufuata mkumbo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwoHlSwZjDeDUM-3oTAVEb2JGz0Xq4RvAv1Url3xh7zLRPBiuOCMkmyBeAhuHxTtUnaL2hiuKT9TfzsQ*-QC5oNh/Loves.jpg?width=650)
FANYA HIVI KUMPATA ANAYEKUFAA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8bf0yxRIJKT7hGnIjHTCxc7UdPOyAjnXhaa8XMJBkw1wLNwkem3qX2mhoaJMKwJFEf-Vp84HLPtjTjB9oD2LGtd/wapendanao.jpg?width=650)
FANYA HIVI KURUDISHA UHUSIANO WAKO UPYA-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-8bbifGmxDeLIP9uewd7PQAZ0t-HLLIARSzMxsCDPvbJE3lGqzg3fIcxHyDq56wKZDGLCJ*oIFiJU4b3UXVAxbD/couplebedfrustrated.jpg?width=650)
UPO KAMA DUME LA BATA FANYA HIVI
10 years ago
Bongo505 Feb
Unataka followers wengi Instagram, fanya hivi
10 years ago
Vijimambo30 Oct
SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI
![](http://images.askmen.com/dating/heidi_250/286_keep-your-female-friend-and-your-girlfriend_flash.jpg)
Hii ni kwa sababu wameingia kwenye penzi na watu ambao si sahihi. Kutokana na mazingira hayo, haiwezi kuwa kitu cha ajabu mume wa mtu kutokea kumpenda sana mke wa mtu au kinyume chake.
Pia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMNHrVAoCGJ8Lw8dcNTF3bVPaBaofg1E5faKYmy5fiNNjyUp2xvpv*BsOGwoKQLYeUpwhD0kBTeYwWl-tW0cU61*/love.jpg?width=650)
SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvucHiCdguG1fxDq5jBuKp556CsEw6MzushclcIKG4KoIHg2BzN1ItS9zrd--Kv4sx6RwzMpmpV4QsXBG6V3VgTQ/Love.jpg?width=650)
UNATAKA ANAYEKUFAA, WEWE UNAMFAA?
9 years ago
Bongo517 Dec
Zari: Diamond ananipenda hivi hivi pamoja na ninyi kuniona bibi!
![12357542_428396244023192_1854107619_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12357542_428396244023192_1854107619_n-300x194.jpg)
Kuna watu wanaodai kuwa make up ya Zari kwenye video ya Utanipenda! imemharibu na sasa mpenzi huyo wa Diamond amevunja ukimya na kuwajibu.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zari ameandika:
Need I remind some fools that this was a music video a lot of make up going on here and sometimes it just doesn’t do justice on a face, so if age is what is bothering you guess what, he knows there is a lot of young hoes out there but then again he prefers this old ass right here, so suck that up and take...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi …
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola jina lake limekuwa likitumika kupamba headlines tofauti tofauti za magazeti ya michezo barani Ulaya na Afrika, hususani juu ya stori za kocha huyo kuhusishwa kutaka kujiunga na Man City ila Chelsea na Man United […]
The post Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi … appeared first on TZA_MillardAyo.