FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …
Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini […]
The post FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Barcelona yavunja Mkataba na Guardiola saa moja baada ya kusaini
Sergi Guardiola.
Barcelona, Hispania
KLABU ya Barcelona nchini Hispania imeingia kwenye headline leo baada ya kuvunja mkataba wake na mchezaji Sergi Guardiola saa moja baada ya kumsajili.
Hii imetokea baada ya Sergi Guardiola (hana uhusiano na Pep) kuandika kwenye mtandao wa twitter maneno ambayo yanaonesha kuuchukiza uongozi wa Barca.
Kiungo Guardiola mwenye umri wa miaka 24, kabla ya kujiunga na Barca alikuwa akichezea timu ya Alcorcon inayoshiriki ligi ndogo za Hispania.
Walichokisema...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Barcelona yavunja rekodi ya Real Madrid, ipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania imefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na wapinzani wao wakubwa Real Madrid ambayo waliiweka mwaka 2014.
Real Madrid mwaka jana ilifanikiwa kufunga magoli 178 ambayo yalikuwa hayajawahi kufungwa na klabu yoyote katika historia ya klabu ya Hispania.
Awali kabla ya mchezo kati ya Barcelona na Real Betis, Barcelona ilikuwa na magoli 176 na baada ya kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya Real Betis sasa Barcelona ndiyo...
10 years ago
Vijimambo18 Dec
Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili mlinda mlango David De Gea
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007144536_david_de_gea_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili mlinda mlango David De Gea toka klabu ya Man United usajili huu utavunja rekodi ya uhamisho iliyowekwa na kipa Gianluigi Buffon aliehamia Juventus toka Parma.Huku kukiwa na taarifa De Gea anafuraha kubaki na kikosi cha Manchester United na atasaini mkataba mpya .
Timu ya Liverpool imefikia makubaliano ya kumsajili kipa Guillermo Ochoa toka klabu ya Malaga kwa dau la £3milion ili kuwa mbadala wa Simon Mignolet ambae...
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLp9KljHgOk2zS3hNQQ3djpfjivbMudlrz8rgF-8dAcybwxofy8TmduWbUFIEzzXzRwEL91oDzMUzJlA*IKFGIqM/keshokutwa.jpg?width=650)
Tutawapwelepweta, Barcelona vs Real Madrid
9 years ago
BBCSwahili22 Nov
Real Madrid 0-4 Barcelona El Clasico
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Real Madrid v Barcelona: Kuchuana Jumapili
5 years ago
Goal.Com02 Mar
Real Madrid didn't deserve to beat Barcelona in El Clasico - Amor
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-3zu93FoMF14/VlF_qQcsU8I/AAAAAAAAEAA/UOI6MtvV02A/s72-c/Real%2BMadrid%2B0-2%2BBarcelona%2BHighlights.jpg)
VIDEO: REAL MADRID 0 - 4 BARCELONA "El Classico" (All Goals and Highlights 21.11.2015)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3zu93FoMF14/VlF_qQcsU8I/AAAAAAAAEAA/UOI6MtvV02A/s1600/Real%2BMadrid%2B0-2%2BBarcelona%2BHighlights.jpg)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...