Tutawapwelepweta, Barcelona vs Real Madrid
![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLp9KljHgOk2zS3hNQQ3djpfjivbMudlrz8rgF-8dAcybwxofy8TmduWbUFIEzzXzRwEL91oDzMUzJlA*IKFGIqM/keshokutwa.jpg?width=650)
BARCELONA, Hispania SIRI ni moja ni kuwa kama Real Madrid inahitaji kutwaa ubingwa wa La Liga msimu huu basi inatakiwa kuhakikisha haipotezi mchezo wa keshokutwa Jumapili dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Camp Nou. Takwimu zinaonyesha kuwa mechi za miaka ya hivi karibuni baina ya timu hizo ambayo inajulikana kwa jina la El Clásico, huwa inakuwa na faida kwa Madrid kama inashinda kwenye uwanja huo unaomilikiwa na Barcelona....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili22 Nov
Real Madrid 0-4 Barcelona El Clasico
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Real Madrid v Barcelona: Kuchuana Jumapili
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Barcelona yavunja rekodi ya Real Madrid, ipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania imefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na wapinzani wao wakubwa Real Madrid ambayo waliiweka mwaka 2014.
Real Madrid mwaka jana ilifanikiwa kufunga magoli 178 ambayo yalikuwa hayajawahi kufungwa na klabu yoyote katika historia ya klabu ya Hispania.
Awali kabla ya mchezo kati ya Barcelona na Real Betis, Barcelona ilikuwa na magoli 176 na baada ya kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya Real Betis sasa Barcelona ndiyo...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-3zu93FoMF14/VlF_qQcsU8I/AAAAAAAAEAA/UOI6MtvV02A/s72-c/Real%2BMadrid%2B0-2%2BBarcelona%2BHighlights.jpg)
VIDEO: REAL MADRID 0 - 4 BARCELONA "El Classico" (All Goals and Highlights 21.11.2015)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3zu93FoMF14/VlF_qQcsU8I/AAAAAAAAEAA/UOI6MtvV02A/s1600/Real%2BMadrid%2B0-2%2BBarcelona%2BHighlights.jpg)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
5 years ago
Goal.Com02 Mar
Real Madrid didn't deserve to beat Barcelona in El Clasico - Amor
9 years ago
MillardAyo29 Dec
FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …
Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini […]
The post FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … appeared first on...
5 years ago
Liverpool Echo27 Mar
Philippe Coutinho return assessed as Jurgen Klopp given firm Real Madrid and Barcelona message
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Real Madrid yatajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani, Man Utd, FC Barcelona zafuatia!!
Timu zinazoongoza kwa utajiri duniani..
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Klabu ya Real Madrid ya Hispania imetajwa kuwaklabu ya mpira wa miguu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo cha biashara cha Wingereza, London School of Marketing.
Katika utafiti huo umeonyesha kuwa Real Madrid inautajiri wa Pauni Bilioni 2.070 ikifatiwa na Manchester United ya Wingereza iliyotajwa kuwa na utajiri wa Pauni Bilioni 2.050 na klabu ya Barcelona ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na...