Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu za mapigano kushindanishwa

FILAMU za Kitanzania zinazoonyesha mchezo wa mapambano zimeingizwa kwenye shindano la Action & Cut Viewers Choice Award 2013 ambalo fainali zake zitakuwa Machi 10, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Filamu 419 kushindanishwa Tamasha la ZIFF

Martin_Luther_King_Jr_NYWTSNA FESTO POLEA

JUMLA ya filamu 419 zitashindanishwa katika tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF), lililopangwa kufanyika Julai 18 hadi 26 katika viwanja vya Ngome Kongwe, visiwani Zanzibar.

Kati ya filamu hizo, 25 ni filamu ndefu, 44 ni filamu fupi na 27 ni filamu za makala ‘documentary’.

Filamu hizo zimetoka katika nchi 38 na nyingi zimetoka nchini Ujerumani na kwa mara ya kwanza ZIFF imepokea filamu kutoka nchi ya Jamhuri ya Dominica ya nchi za Karibean.

Mkurugenzi wa tamasha hilo, Prof....

 

10 years ago

Mwananchi

Wapishi wa kibiashara kushindanishwa Morogoro

Mamlaka ya Biashara nchini (TanTrade) kwa kushirikiana na Kampuni ya uzalishaji chakula ya Azam, imeandaa mashindano ya upishi wa vyakula mbalimbali kwa mama na baba lishe mkoani Morogoro kwa lengo la kuboresha biashara hiyo.

 

10 years ago

StarTV

Udhibiti matumizi fedha za umma, halmashauri kushindanishwa kiutendaji.

Na Gloria Matola,

Dar es Salaam.

 

Serikali inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kuzishindanisha Halmashauri zote nchini kiutendaji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kutoa tuzo kwa zile zitakazoshinda kwa matumizi mazuri ya fedha hizo.

 

Tanzania ina jumla ya Halmashauri 168 zilizoshiriki ambapo 49 miongoni mwao zimeweza kukidhi mahitaji ya shindano hilo.

 

Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Utumishi Hawa Ghasia amesema hivi sasa...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

11 years ago

Michuzi

muda wa shindalo la waandishi wa filamu za Kiswahili la skripti za filamu ndefu waongezwa

Tamasha la ZIFF limetangaza kuongezwa muda kwa wadau waandishi wa filamu  za Kiswahili. Shindano la skripti za filamu ndefu (feature film) katika lugha ya Kiswahili kwa ajili ya Chaneli ya ZUKU limeongezewa muda hadi tarehe 30 Aprili.
Tafadhali tembelea tovuti ya ZIFF  http://www.ziff.or.tz/2014/03/30/commissioning-feature-length-films-zuku-tvs-swahili-movies-chann/
Washindi 5 watapata zaidi ya Tsh 20millioni ili kutengeneza filamu zao baada ya kuchaguliwa na kupigwa msasa na magwiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani