FOURTY YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-ygCJ9Y1d3fc/UuxMIaIZHnI/AAAAAAACZnM/5m1BqXUofBo/s1600/Zainab.jpg?width=550)
Zainab Buzohera enzi ya uhai wake. Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni 1401 University Blvd, Hyattsville, MD 20783. Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ygCJ9Y1d3fc/UuxMIaIZHnI/AAAAAAACZnM/5m1BqXUofBo/s72-c/Zainab.jpg)
AROBAINI YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-ygCJ9Y1d3fc/UuxMIaIZHnI/AAAAAAACZnM/5m1BqXUofBo/s1600/Zainab.jpg)
Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni 1401 University Blvd, Hyattsville, MD 20783. Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili kufanikisha siku hii ambayo ilianzia saa, siku, wiki, mwezi na siku 10...
11 years ago
GPLKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-avMHSeAYUQM/UzbyVfh6DRI/AAAAAAACeps/A36ut0Iz6sc/s1600/michael.jpg?width=550)
MICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO MADISON, WISCONSIN
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-avMHSeAYUQM/UzbyVfh6DRI/AAAAAAACeps/A36ut0Iz6sc/s1600/michael.jpg?width=550)
WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN
11 years ago
MichuziAROBAINI YA ZAINABU BUZOHERA DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV
Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.
11 years ago
Michuzi09 Mar
MAZISHI YA MPENDWA WETU NI KESHO JUMAPILI MAKABURI YA KINONDONI
KWA WENZANGU WANA PAZI, DADA YETU CARO MWAISELAGE MBILINYI ANAZIKWA KESHO TAREHE 9 MARCH 2014 SAATISA MCHANA KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. KABLA YA HAPO SHUGHULI ZA MISA ZITAFANYIKA KANISA LA KILUTHERIL UKONGA.
TUJITAHIDI KUMSINDIKIZA DADA YETU KWENYE SAFARI YAKE YA MWISHO.
KWA TAARIFA ZAIDI TUNAWEZA KUMPIGIA SIMU KAKA YAKE DR. JULIUS MWAISELAGE KWENYE NO. 255754764412 , MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s72-c/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
IBADA YA MAOMBI YA MPENDWA MAMA YETU DMV JUMAPILI
![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s640/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
Familia za Ketangenyi na Musika zinawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya maombi ya kumuombeamarehemu mpendwa Mama yetu, Dada yetu, Bibi yetuBettisheba Pole Ketang’enyialiyefariki asubuhi ya tarehe 30 September, 2015.
Misa itafanyika siku ya Jumapili, tarehe 4 October, 2015 kuanzia saa mbili asubuhi (8:00 am) hadi saa tano kasorobo (10:45 am.)
Location: Francis Collins Funeral Home500 University Blvd, WestSilver Spring, MD...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV