FRENK MSANJA WA MWANZA ANANTAFUTA BABA YAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-pAdQXZt5uAY/Vfal48XRmyI/AAAAAAAH4so/pfwvPi4bwGo/s72-c/fra.jpg)
KWA WASUKUMA WOTE DUNIANI
Kijana FRANK MASANJA (akiwa na mama yake pichani) anamtafuta baba yake mzazi aitwae MASANJA BASU. Masanja alikuwa anaishi kwa kaka yake aitwae SHINGERA BASU sehemu iitwayo NYAKATO SOKONI mkoani MWANZA, Kabila la Masanja ni msukuma wa mkoani Shinyanga wilaya ya Bariadi katika kijiji kiitwacho BUDARABUJIGA na jina la ukoo wao ni BASU.
Sasa hivi wilaya ya Bariadi ipo ndani ya mkoa mpya wa Simiyu na si Shinyanga tena.
Mke wa kaka yake alikuwa mwalimu wa shule ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX3grlTKrC2n-STKNBYvdTMrzkReIOOCdGB8JZffj2X3FAKLf0mNjb5ktloFCgO32*KuIumvv9UZ*qc0K1HuRm5k/1MAREHEMUANNA2.jpg?width=650)
MWILI WA MWANAFUNZI ANASTAZIA LACKFORD ANAYEDAIWA KUUNGUZWA NA KUPEWA SUMU NA BABA YAKE ULIVYOAGWA SHULENI KWAO MWANZA SEKONDARI
9 years ago
MichuziMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
StarTV19 Aug
Vurugu za tawala kanisa la Baba God Pamba Mwanza
Mtaa wa Pamba jijini Mwanza umekumbwa na hali ya vurugu baada ya waumini wa kanisa la Trustees of Throne of Glory Ministries kuhamishwa kwa nguvu kutoka katika jengo walilokuwa wakilitumia kwa shughuli za ibada.
Waumini wa kanisa hilo linalojulikana kama kanisa La Baba God wamehamishwa kutokana na kuisha kwa mkataba baina yao na mmiliki wa jengo hilo.
Kumalizika kwa mkataba wa kutumia jengo hilo kwa shughuli za ibada kunawalazimu waumini wa kanisa la Trustees of throne of Glory ministries...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Hatari tupu! Utajiri wa MSANJA MKANDAMIZAJI UNATISHA! Diamond, Jide tupa kule. Tazama hapa
UTAJIRI wa komediani maarufu nchini Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.
Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.
HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3gTfdm7mQwBBgRoGloRO1jT46j-tL7pnUtBS0vC-nz9pYo2NUFCLv-oqS1CVWPVfvy2cfAx6MDDPzgL*jW55Kp/mtotu4.jpg?width=650)
MTITU AFIWA NA BABA YAKE
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Baba wa kambo ambaka binti yake
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-TuWsFnwWIN4/Vfagsvjv-bI/AAAAAAAD7hQ/l1Bi10Xb-iU/s72-c/fra.jpg)
KIJANA FRANK ANAMTAFUTA BABA YAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-TuWsFnwWIN4/Vfagsvjv-bI/AAAAAAAD7hQ/l1Bi10Xb-iU/s640/fra.jpg)
11 years ago
GPL![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/01/IMG-20140115-WA0073.jpg?width=480)
H.BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
11 years ago
GPLJOHARI AFIWA NA BABA YAKE MDOGO