KIJANA FRANK ANAMTAFUTA BABA YAKE
Kijana FRANK MASANJA anamtafuta baba yake mzazi aitwae MASANJA BASU . Masanja alikuwa anaishi kwa kaka yake aitwae SHINGERA BASU sehemu iitwayo NYAKATO SOKONI mkoani MWANZA. Kabila la Masanja ni msukuma wa mkoani Shinyanga wilaya ya Bariadi katiki kijiji kiitwacho BUDARABUJIGA na jina la ukoo wao ni BASU. Sasa hivi wilaya ya Bariadi ipo ndani ya mkoa mpya waSimiyu na si Shinyanga tena. Mke wa kaka yake alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Baadhi ya watoto wa kaka yake ni BUSARU na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Baba anapoingia mitini na michango ya harusi ya kijana wake!
KATIKA hali ya kawaida wazazi wa kijana au binti anayetarajia kuoa au kuolewa wao ndio wanaokuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha mtoto wao anafanikiwa vema katika maandalizi ya harusi mtoto...
9 years ago
MichuziMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kijana anaweza kufikia ndoto yake
ASILIMIA kubwa ya watu ukiwauliza kuhusu ndoto zao za baadaye, utashangazwa na mambo makubwa waliyoyabeba moyoni na kwenye fikra zao. Ni wachache kati ya hao ambao watafanya maamuzi ya kuchukua...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
INAUMA SANA KUONA MSANII MWENZETU KIJANA DAZ BABA AKIWA KATIKA KHALI HII MBAYA...TUMSAIDIE JAMANI
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
‘Kijana wa saa’ kuhamia Qatar na familia yake
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Kijana anapokata tamaa hupoteza ndoto yake
KATIKA maisha ya kila siku tunahimizwa kuwa tukipata tufurahi na tukikosa tutafakari. Kushindwa kunafananishwa na giza linalotangulia mbele ya mwanga wa kushinda, ambapo ndiyo mafanikio yenyewe yalipo. Juhudi kubwa ni...
10 years ago
GPLKIJANA AJITOKEZA KWENYEZA KWENYE MAZISHI YAKE
10 years ago
GPL03 Feb
GLOBAL TV ONLINE: KIJANA NUSURA AUAWE KWA WIZI, MAMA YAKE AINGILIA KATI
11 years ago
GPLMTITU AFIWA NA BABA YAKE