Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA BEI YA MAFUTA KATIKA VITUO VYOTE, TANZANIA

 Rais wa Reliance Industries Limited ya Mumbai, Ashok Dhar akipongezana na Diwani wa Kata ya Kariakoo, Abdulkarim Masamaki (wa tatu kushoto) baada ya kuzindua kadi maalum za Safari za kampuni hiyo zitakazomwezesha dereva kupata huduma ya mafuta kutoka vituo vyote vya Gapco nchini kwa unafuu. Wengine (kustoka kushoto) ni Rais wa kampuni ya RIL ya Mumbai, Ashok Dhar, Diwani wa Kata ya Gerezani, Salum Bisarara, Ofisa Mtendaji Mkuu wa kundi la makampuni ya Gapco, Dk. Macharia Irungu na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA BEI YA MAFUTA KATIKA VITUO VYOTE, TANZANIA‏

 Rais wa Reliance Industries Limited ya Mumbai, Ashok Dhar akipongezana na Diwani wa Kata ya Kariakoo, Abdulkarim Masamaki (wa tatu kushoto) baada ya kuzindua kadi maalum za Safari za kampuni hiyo zitakazomwezesha dereva kupata huduma ya mafuta kutoka vituo vyote vya Gapco nchini kwa unafuu. Wengine (kustoka kushoto) ni Rais wa kampuni ya RIL ya Mumbai, Ashok Dhar, Diwani wa Kata ya Gerezani, Salum Bisarara, Ofisa Mtendaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wateja Gapco kupata mafuta bure

KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za mafuta nchini, Gapco imezindua programu aminifu kuwezesha wamiliki wa magari kujipatia pointi wanunuapo mafuta ambazo zitawawezesha kupata mafuta bure kama faida. Mpango huo utawanufaisha...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

9 years ago

Michuzi

25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 20 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kupata unafuu wa mikopo

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Serikali itapunguza gharama za kukopa fedha kwa riba katika taasisi za fedha na benki nchini, baada ya Benki ya Rasilimali (TIB) kuingia makubaliano na Benki ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, katika kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa miradi yote ya maendeleo ikiwamo ya sekta ya uchukuzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bei ya Mafuta yashuka zaidi Tanzania

Mamlaka ya udhibiti wa Nishati ,Maji na mafuta EWURA nchini Tanzania imetangaza punguzo la jingine la mafuta nchini

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa kike anavyosongwa katika safari ya kupata elimu

Kama kuna mikakati iliyobuniwa kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu nchini, ni pamoja na ujenzi wa shule za sekondari za kata.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kupata mafunzo Kamisheni ya Mafuta na Gesi Canada

Serikali ya Tanzania inatarajia kutuma wataalam kwenda nchini Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), ili kupata uelewa zaidi katika masuala ya udhibiti wa mafuta na gesi nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Charles Kitwanga wakati akiongea na watendaji wa Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya Jimbo la British Columbia katika Ofisi za kamisheni hiyo zilizo katika mji wa Victoria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani