Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARDNER ADAIWA KUMPANDISHA JIDE KORTINI!

Na Musa Mateja
Prizenta aliyetua Radio E-FM hivi karibuni akitokea Radio Times FM, Gardner G Habash ‘Kapteini’ anadaiwa kumpandisha kortini mkewe, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kisa kikisemekana ni mgawanyo wa mali hivyo anataka haki yake baada ya kuwepo kwa madai mazito ya ndoa yao kuvunjika. Mke wa Gardner G Habash , Judith Wambura Mbibo,… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GARDNER AMKEJELI JIDE!

Gladness Mallya REVENGE! Katika kile kinachoonekana kama kejeli kwa mke wake wa zamani aliyekorofishana naye, mtangazaji maarufu Gardner G. Habash, ametundika picha kwenye akaunti yake katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha akiwa amempakata mwanamke mjamzito. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Kh4pCJ

 

10 years ago

GPL

NDOA YA JIDE GARDNER AFUNGUKA

Na Ojuku Abraham na Gladness Mallya HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo, staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ na mtangazaji maarufu wa Radio Times FM, Gardner G. Habash, iliyofungwa Mei 14, 2005, Ijumaa linamaliza utata. Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura...

 

10 years ago

GPL

NDOA, HAIPO: GARDNER AMSALITI JIDE?

Stori: Waandishi Wetu
LICHA ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Kepteini’ amenaswa na kabinti akiwa kwenye pozi tata za kimahaba hivyo baadhi ya watu kuhoji anasaliti ndoa? Risasi Jumamosi lilifuatilia hatua kwa hatua. Mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Kepteini’...

 

10 years ago

GPL

JIDE, GARDNER SASA PAKA NA PANYA

Stori: Richard Bukos
PAMOJA na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G. Habash’ na ‘mtalaka’ wake, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, Jumamosi iliyopita walifanya tukio lililowashangaza watu kufuatia kila mmoja kuingia ukumbini akiwa na kampani yake na kukwepana kama paka na panya, Amani liliwanasa kwa vile...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA JIDE, GARDNER MAZITO YAIBUKA

Stori: WAANDISHI WETU Jambo limezua jambo! Nyuma ya habari ya madai ya kuvunjika kwa ndoa ya Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ na Mtangazaji wa Radio Times FM, Gardner G Habash, kuna mambo mazito yameibuka, mara baada ya habari hiyo kuripotiwa na gazeti pacha la hili, Ijumaa la wiki iliyopita. Uzio wa nyumba ya Staa, ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’Gardner G...

 

10 years ago

GPL

MGAWO MALI ZA JIDE, GARDNER UTATA

Stori: Mwandishi Wetu
HALI tete! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ na Mbongo Fleva, Judith Daines Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’, sasa lingine limeibuka ambapo mali za wawili hao zinatajwa kuzua utata, Risasi Jumamosi  linachambua. Mbongo Fleva, Judith Daines Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide. Kwa mujibu...

 

10 years ago

GPL

JIDE AANIKA KISA CHA KUMMWAGA GARDNER

Stori: Gladness Mallya
Funguka! Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash ‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ akipozi. Akizungumza na Kituo cha Radio Times FM cha jijini Dar, wikiendi iliyopita, Jide alifunguka...

 

11 years ago

GPL

JIDE: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA!

Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini’ . Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi? Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye...

 

10 years ago

GPL

GARDNER ATAKA JIDE AELEZE UKWELI JUU YA NDOA YAO

Stori: Mayasa Mariwata
Habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa Bongo ni kitendo cha mtangazaji mwenye jina kubwa wa Kipindi cha Maskani cha Redio Times FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’ kutaka mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ndiye aeleze ukweli juu ya ndoa yao. Mtangazaji wa Redio Times FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’ Akizungumza kwenye Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani