Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI LA WIZARA ZANZIBAR LAPINDULIWA KWA MAWE!


Habari zilizopatikana mchana huu kutoka visiwani Zanzibar zinasema kuwa vijana wenye mikokoteni inayovutwa na Ng'ombe wamefanya vurugu na kuanza kupiga mawe magari ya serikali huku wakijerui wafanyakazi wa serikali kadhaa. Katika kadhia hiyo, walisababisha gari la Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi,  Mhe. Khamis Musa kupinduka kama linavyoonekana pichani. Inaelezwa kuwa chanzo cha vurugu hizo ni kupigwa marufuku kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mwanajeshi wa JWTZ Zanzibar anusurika kifo katika ajali ya gari kijiji cha Kibele, Zanzibar

DSC05130

Gari hilo kama linavyoonekana baada ya ajali hiyo

Na Mwandishi Wetu.

[Unguja-ZANZIBAR] Mwanajeshi wa  Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF) imeelezwa kuwa amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea mchana  wa leo Novemba Mosi, eneo la kijiji  cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa gari hiyo.

Kwa mujibu wa shuhuda wa taarifa ya tukio hilo: “ Ajali imetokea mchana huu kwenye saa 8.10 ambayo imemhusisha askari wa Jeshi la Ulinzi...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar. Dkt. Ahlam Ali akiwasilisha mada ya maradhi ya Presha katika Semina ya Waandishi wa Habari iliyohusu magonjwa yasiyoambukiza katika Ofisi ya Malaria Zanzibar Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Hassan Vuai akitoa mchango katika Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la...

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA YAKABIDHI VYANDARUA KWA HOSPITALI NANE ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimkabidhi Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman msaada wa Vyandarua kwa ajili ya kumaliza maradhi ya malaria Zanzibar katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa vyandarua ambao utatumika katika Hospital nane zinazolaza wagonjwa Unguja na Pemba.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA MFUMO MPYA WA USAMBAZAJI DAWA ZANZIBAR (eLMIS) KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA WA WIZARA YA AFYA.

 Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar. Mfamasia Mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar.  Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki .  Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha Julai hadi  Disemba 2019 / 2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kilia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Hassan...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR




RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...

 

10 years ago

Vijimambo

ZANZIBAR | CHINA YAISAIDIA WIZARA YA AFYA VIFAA KWA AJILI YA KITENGO CHA MATIBABU YA MACHO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza (kushoto) ni Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na (wakatikati) ni Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Yuanliang. Balozi Mdogo wa China Xie Yuanliang akimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani