Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gawio la wanahisa TBL laongezeka

KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) imetangaza kutoa gawio la sh 450 kwa wanahisa wake kwa mwaka 2013/2014 ambalo ni sawa na ongezeko la asilimia 50 ikilinganishwa na mwaka jana....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanahisa TCCL kupata gawio bil. 7/-

KAMPUNI ya Saruji ya Tanga (TCCL) kupitia bodi yake Wakurugenzi imeidhinisha gawio la hisa la sh bilioni 7 kwa wanahisa wake baada ya kupata faida ya sh bilioni 32.4 kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake

Benki ya NMB imeidhinisha shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake ikiwa ni sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2014.Gawio hilo ni sawa na Shilingi 104 kwa kila hisa moja na ikiwa ni ongezeko la asilimia 16 kutoka gawio la mwaka jana.
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanga Cement yatoa gawio la hisa shilingi 7 bilioni kwa wanahisa wake

05

Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL), David Lee ( wa pili kushoto) akisoma taarifa za fedha za kampuni hiyo wakati wa mkutano wa 20 wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Reinhardt Swart, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lawrence Masha, na mjumbe mwingine wa bodi hiyo, Dr. Stephan Olivier.

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania,

KAMPUNI ya Saruji ya Tanga cement...

 

5 years ago

Michuzi

Wanahisa Benki ya CRDB kupata ongezeko la asilimia 112.5 la Gawio, Shilingi bilioni 44.4 kutolewa

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 25 wa Wanahisa uliofanyika kidijitali siku ya jumamosi tarehe 27 Juni, 2020. Wakichangia maoni ya kupitisha pendekezo hilo la ongezeko la gawio kwa asilimia 112.5, Wanahisa wa Benki ya CRDB wamepongeza uongozi na wafanyakazi wa benki hiyo kwa matokeo mazuri yenye tija kwa Wanahisa. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB KULIPA GAWIO LA SH. BILIONI 48 MWAKA 2019: ONGEZEKO LA ASILIMIA 45% KULINGANISHA NA GAWIO LA MWAKA 2018

Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa wa Benki ya NMB (AGM) umepitisha azimio la kulipa gawio la shilingi Bilioni 48 kwa wanahisa ambapo kila Mwanahisa atapata Shilingi 96 kwa hisa. Mkutano huo ulifanyika kwa mara ya kwanza kwa njia ya mtandao Ijumaa iliyopita.  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akimkabidhi wasilisho na Muhtasari wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wanahisa wa Benki ya NMB, Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB, Bi Margaret Ikongo (Kushoto) mara baada...

 

9 years ago

BBCSwahili

Pato la Man United laongezeka

Klabu ya soka ya Manchester United imetangaza mapato yao ya robo ya Kwanza ya Mwaka wa Kifedha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pato la taifa laongezeka kwa pointi

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema ukuaji wa pato la taifa kwa bei ya soko umeongezeka kwa kasi ya asilimia chanya 6.9 kwa kipindi cha robo ya pili ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Deni la kilabu ya Man United laongezeka

Mapato ya matangazo ya kilabu ya Manchester United yameshuka kutokana na timu hiyo kukosa kushiriki katika ligi ya vilabu bingwa.

 

10 years ago

Michuzi

PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Morrice Oyuke (Kulia)akitoa taarifa ya Pato la Taifa kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka 2014 leo jiji Dar es salaam. Pato hilo kwa mwaka 2014 limefikia kiasi shilingi trilioni 21.2 kutoka trilioni 19.8 za mwaka 2013, Kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Gregory Milinga, Picha na Aron Msigwa-MAELEZO.
Aron Msigwa –MAELEZO.
Pato la Taifa (GDP)  katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2014 limeongezeka hadi kufikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani