BENKI YA NMB KULIPA GAWIO LA SH. BILIONI 48 MWAKA 2019: ONGEZEKO LA ASILIMIA 45% KULINGANISHA NA GAWIO LA MWAKA 2018
![](https://1.bp.blogspot.com/--oXQMCxjXTc/Xt22O_e_GZI/AAAAAAAEHiY/8_OgU7VjozEvXxYMV-QfN0q7VpJC8aCZwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_4943.jpg)
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa wa Benki ya NMB (AGM) umepitisha azimio la kulipa gawio la shilingi Bilioni 48 kwa wanahisa ambapo kila Mwanahisa atapata Shilingi 96 kwa hisa. Mkutano huo ulifanyika kwa mara ya kwanza kwa njia ya mtandao Ijumaa iliyopita. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akimkabidhi wasilisho na Muhtasari wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wanahisa wa Benki ya NMB, Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB, Bi Margaret Ikongo (Kushoto) mara baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2LJvH_3PeLE/XvhPoYqXctI/AAAAAAALvwE/FhvquxW4FhwJoo6xFBuz8Z5Q06SiJYVJACLcBGAsYHQ/s72-c/CRDB%2BAGM.jpg)
Wanahisa Benki ya CRDB kupata ongezeko la asilimia 112.5 la Gawio, Shilingi bilioni 44.4 kutolewa
![](https://1.bp.blogspot.com/-2LJvH_3PeLE/XvhPoYqXctI/AAAAAAALvwE/FhvquxW4FhwJoo6xFBuz8Z5Q06SiJYVJACLcBGAsYHQ/s640/CRDB%2BAGM.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay...
10 years ago
MichuziNMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kMl7ZdW8t7c/Xt5M7ltBHLI/AAAAAAALtFk/buKR_gZj5_0lWt9yJNXvHtOXiCuq5_SNwCLcBGAsYHQ/s72-c/MNDOLWA.jpg)
BENKI YA TPB YAPATA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 15.9 KWA MWAKA UNAOISHIA DESEMBA 31,2019
![](https://1.bp.blogspot.com/-kMl7ZdW8t7c/Xt5M7ltBHLI/AAAAAAALtFk/buKR_gZj5_0lWt9yJNXvHtOXiCuq5_SNwCLcBGAsYHQ/s640/MNDOLWA.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB Dk. Edmund Mndolwa,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya kodi ya Sh.bilioni 15.9 kwa mwaka Desemba 2019.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Mushingi.
![](https://1.bp.blogspot.com/-zfrA-m7zVCg/Xt5M7xbaz1I/AAAAAAALtFs/4U9hOY_xFP0Wbow9jw7ow6sQymqHW-URgCLcBGAsYHQ/s640/MOSHINGI.jpg)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi,(kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya ...
11 years ago
Mwananchi26 May
Bodi yaidhinisha gawio la Sh7 bilioni
11 years ago
Mwananchi01 May
Gawio la hisa Twiga Cement lapanda kwa asilimia tano
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).
Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...
11 years ago
Dewji Blog26 May
Tanga Cement yatoa gawio la hisa shilingi 7 bilioni kwa wanahisa wake
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL), David Lee ( wa pili kushoto) akisoma taarifa za fedha za kampuni hiyo wakati wa mkutano wa 20 wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Reinhardt Swart, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lawrence Masha, na mjumbe mwingine wa bodi hiyo, Dr. Stephan Olivier.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania,
KAMPUNI ya Saruji ya Tanga cement...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RH4nIYtTnK0/VXs3hAE928I/AAAAAAAHfHs/5WiRMfL_lG8/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED
![](http://2.bp.blogspot.com/-RH4nIYtTnK0/VXs3hAE928I/AAAAAAAHfHs/5WiRMfL_lG8/s640/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0geuo0JyMb4/VXs3hPzFcwI/AAAAAAAHfHo/3fPBGrq8s9U/s640/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
5 years ago
MichuziKWA MARA YA KWANZA WATEJA WA HALOPESA KUNEEMEKA GAWIO,KUPATA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA
Hatua hiyo ikiwa ni hatua ya kwanza kwa HaloPesa kutoa gawio kiasi cha shilingi bilioni moja kwa wateja wake Zaidi ya Milioni 1.9 ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala na washirika wake mbalimbali wanatumia huduma za HaloPesa.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, Mkuu wa kitengo...