Bodi yaidhinisha gawio la Sh7 bilioni
Kampuni ya Saruji ya Tanga (TCCL) kupita bodi yake ya wakurugenzi imeidhinisha gawio la hisa la Sh7 bilioni kwa wanahisa wake, baada ya kupata faida ya Sh32.4 bilioni kwa mwaka 2013.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...
5 years ago
MichuziBENKI YA NMB KULIPA GAWIO LA SH. BILIONI 48 MWAKA 2019: ONGEZEKO LA ASILIMIA 45% KULINGANISHA NA GAWIO LA MWAKA 2018
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).
Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...
11 years ago
Dewji Blog26 May
Tanga Cement yatoa gawio la hisa shilingi 7 bilioni kwa wanahisa wake
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL), David Lee ( wa pili kushoto) akisoma taarifa za fedha za kampuni hiyo wakati wa mkutano wa 20 wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Reinhardt Swart, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lawrence Masha, na mjumbe mwingine wa bodi hiyo, Dr. Stephan Olivier.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania,
KAMPUNI ya Saruji ya Tanga cement...
5 years ago
MichuziWanahisa Benki ya CRDB kupata ongezeko la asilimia 112.5 la Gawio, Shilingi bilioni 44.4 kutolewa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay...
5 years ago
MichuziKWA MARA YA KWANZA WATEJA WA HALOPESA KUNEEMEKA GAWIO,KUPATA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA
Hatua hiyo ikiwa ni hatua ya kwanza kwa HaloPesa kutoa gawio kiasi cha shilingi bilioni moja kwa wateja wake Zaidi ya Milioni 1.9 ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala na washirika wake mbalimbali wanatumia huduma za HaloPesa.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, Mkuu wa kitengo...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED
9 years ago
MichuziAIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY
Meneja biashara wa kitengo cha Airtel Money, Bwn Asupya Naligingwa(kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtelkugawa gawio la faida la zaidi ya shilingi billion 5 kwa wateja namawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima. Pichanini Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Bi Jane Matinde
KAMPUNI ya simu za mkononiya Airtel leo imetangaza kugawa zaidi ya shilingi bilioni 5 kwa watejana mawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima
Uamuzi huo wa...