Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GEL yawezesha wanafunzi 320 kusoma nje ya nchi

ZAIDI ya wanafunzi 320 wameondoka nchini kwenda vyuo mbalimbali vya nje ya nchi kwa mwaka wa masomo 2015/16. Safari hiyo imewezeshwa na Kampuni ya kizalendo ya Global Education Link (GEL).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TEMBELEA OFISI YA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) ILIYOPO SABA SABA UJIPATIE NAFASI YA KUSOMA CHUO NJE YA NCHI

Muonekano wa Ofisi ya Global Education Link iliyopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.Msimamizi wa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Haroun Weggoro akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Global Education Link (GEL) yasafirisha wanafunzi kwenda kusoma nchini India

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda kusoma nchini India Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi waliokuwa...

 

9 years ago

Michuzi

GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YASAFILISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda kusoma nchini India jana Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Global Education Link (GEL) yapeleka wanafunzi 65 kusoma vyuo vikuu nchini China

 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global education link (GEL) Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja...

 

11 years ago

Mwananchi

Raha na karaha ya kusoma nje ya nchi

Ndoto au azma ya kupata elimu bora imewasukuma baadhi ya watu kutamani kusoma elimu yao ya juu nje ya nchi hasa Ulaya, Marekani au katika nchi za Bara la Asia.

 

9 years ago

Michuzi

ABDULMALIKI MOLLEL: WANAFUNZI WANAOSOMA NJE YA NCHI WANAWIGO MPANA WA KUAJIRIKA

Na Mwandishi Wetu, Arusha.VITU vinavyofanya wanafunzi kwenda kusoma nje ya nchi ni kutokana kozi wanayoenda kusoma zina uwigo mkubwa wa ajira ambapo vyuo vya ndani havina kozi hizo.

Akizungumza na katika kongamano la saba la vyuo vikuu la kujadili mstakabali wa elimu nchini, lililofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita, Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL), Abdulmaliki Mollel amesema kuwa wanafunzi kwenda nje inatokana na kuangalia fursa za kusoma huko ambazo nchini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Abdulmaliki Mollel: Wanafunzi wanaosoma nje ya nchi wana uwigo mkubwa wa kuajirika

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL), Abdulmaliki Mollel.

Na Mwandishi Wetu, Arusha.

VITU vinavyofanya wanafunzi kwenda kusoma nje ya nchi ni kutokana kozi wanayoenda kusoma zina uwigo mkubwa wa ajira ambapo vyuo vya ndani havina kozi hizo.

Akizungumza na katika kongamano la saba la vyuo vikuu la kujadili mstakabali wa elimu nchini, lililofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita, Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL), Abdulmaliki Mollel amesema kuwa wanafunzi kwenda...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 279 kati ya 320 waacha shule

KATI ya wanafunzi 320 walioanza kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Abeid Amaan Karume iliyopo Bahi Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ni wanafunzi 41 tu waliofanikiwa kufika kidato cha nne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani