Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raha na karaha ya kusoma nje ya nchi

Ndoto au azma ya kupata elimu bora imewasukuma baadhi ya watu kutamani kusoma elimu yao ya juu nje ya nchi hasa Ulaya, Marekani au katika nchi za Bara la Asia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Raha na karaha za kusoma nje ya Tanzania

Pamoja na jitihada za Serikali kuboresha elimu nchini, wazazi wengi wanapenda kuwapeleka watoto wao nje ya nchi kusoma wakiamini kuwa huko kuna elimu bora zaidi.

 

9 years ago

Habarileo

GEL yawezesha wanafunzi 320 kusoma nje ya nchi

ZAIDI ya wanafunzi 320 wameondoka nchini kwenda vyuo mbalimbali vya nje ya nchi kwa mwaka wa masomo 2015/16. Safari hiyo imewezeshwa na Kampuni ya kizalendo ya Global Education Link (GEL).

 

10 years ago

GPL

RAHA NA KARAHA BIA YA SITA!

Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo. Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. Baada ya kumaliza chupa ya pili kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani  huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!-2

TUNAENDELEA kujifunza katika mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho. Nilishafafanua mengi lakini niliishia pale niliposema kwamba, ukweli kwa wapenzi ni jambo la msingi. Unapojaribu kudanganya wakati ukweli unao moyoni kuwa huna nia ya kumuoa (kama ni mwanaume), siku ukimuacha akitamka neno lolote baya ujue linaweza kukufika na maisha yako yakaanza kuwa hatarini (kimafanikio). Hii inamaanisha kuwa kama...

 

11 years ago

Mwananchi

Raha, karaha za mapinduzi ya huduma za kibenki

Benki hiyo iliyoanzishwa wakati wa iliyokuwa Tanganyika chini ya ukoloni wa Ujerumani, ililenga kuratibu sarafu na noti za zilizokuwa zikitumika nchini.

 

11 years ago

GPL

MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!

BILA shaka utakuwa mzima wa afya njema, karibu katika safu yenu ambayo huboresha uhusiano na wenzi wetu. Mpenzi msomaji wangu, mapenzi yana raha na karaha zake. Huo ni ukweli ambao hauwezi kubadilishwa, lakini pamoja na hayo, raha ya mapenzi ni furaha. Huwezi kuwa kwenye mahusiano yenye matatizo kila siku. Hata hivyo, yanaweza kuwa karaha ikiwa  utaamua iwe hivyo. Ni suala la kuamua tu. Inawezekana kero zikasababishwa na sisi...

 

10 years ago

Vijimambo

TEMBELEA OFISI YA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) ILIYOPO SABA SABA UJIPATIE NAFASI YA KUSOMA CHUO NJE YA NCHI

Muonekano wa Ofisi ya Global Education Link iliyopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.Msimamizi wa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Haroun Weggoro akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya...

 

5 years ago

Michuzi

DALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na  kuenea kwa virusi vya  Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.

Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani