MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!-2
![](http://api.ning.com:80/files/JF-pWsE9wxeLN*ruBAOvt*80lYyM-rS3qTfRkgZA-9jIbMDbCUULP7wk7VuUWg8a0jNvPs-9OQf5FVofsr2AAbfM7vPWxpuT/mahaba1.jpg?width=650)
TUNAENDELEA kujifunza katika mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho. Nilishafafanua mengi lakini niliishia pale niliposema kwamba, ukweli kwa wapenzi ni jambo la msingi. Unapojaribu kudanganya wakati ukweli unao moyoni kuwa huna nia ya kumuoa (kama ni mwanaume), siku ukimuacha akitamka neno lolote baya ujue linaweza kukufika na maisha yako yakaanza kuwa hatarini (kimafanikio). Hii inamaanisha kuwa kama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATqGbBDZoOtEN6yjWslKHXuksBYqrWSHD5DD33OTf-olRVrIDk0I-EK9RZKvrboaG3yCT4x2nojiH0fFwHik3c6/mahaba.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEUzpPTKi7PIvBAfw7it00YZzuJBTXKktKkGyB3rw*yFqYM-W-UMmwp4zLTTeixeuyBCcx*oYggeDFOdW16N54lV/kitime.jpg?width=650)
RAHA NA KARAHA BIA YA SITA!
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Raha na karaha ya kusoma nje ya nchi
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Raha na karaha za kusoma nje ya Tanzania
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Raha, karaha za mapinduzi ya huduma za kibenki
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kXkjqGyOlM4/XoNCUqFvUuI/AAAAAAALlrw/oVsNM8wVXhIgnkOtZ3mzQbubBwsXpCHYQCLcBGAsYHQ/s72-c/daladala-dar-es-salaam.jpg)
DALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.
Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwEvCou*a0v5QL3RuqH5kwAhUCUEvJG5-tRGlZcQBffRj*29rTWbsuWqRbItA0kKpwUZ*H2*ukMe4fpSivSs9ZVS/sexy.jpg?width=650)
RAHA YA MAPENZI MBILI ZA MKWEZI!
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-SQuWqgvw1-s/VVPz_YpjpDI/AAAAAAADm1s/dwaJYqU0SnE/s72-c/pp.jpg)
HII HAPA MAPENZI PESA DIAMOND NA NAY WA MITEGO JITIRIRISHE NA WEWE KIROHO SAFI
![](http://1.bp.blogspot.com/-SQuWqgvw1-s/VVPz_YpjpDI/AAAAAAADm1s/dwaJYqU0SnE/s640/pp.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi6565AXjEtuKJmtXroVicDOsOCZe5MLOyCPiSwVUn0FXAs9bp8JNP8wd3Eiwcnfg5fBFDx1*W7HFRpv23YMGX4qS/unhappycouple.jpg?width=650)
HANA WIVU NA WEWE...HAKUFUATILII...MESEJI MPAKA UANZE WEWE... HUYO ANA MALENGO YAKE!