RAHA YA MAPENZI MBILI ZA MKWEZI!
![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwEvCou*a0v5QL3RuqH5kwAhUCUEvJG5-tRGlZcQBffRj*29rTWbsuWqRbItA0kKpwUZ*H2*ukMe4fpSivSs9ZVS/sexy.jpg?width=650)
Jamani eeh! Japokuwa ni tamu lakini kula kwa hamu ili isiishe utamu, siku zote tamu ukizidisha hukinaisha. Vijana mkikutana jamani mnakuwa kama ugomvi wa faru, nguvu nyingi kuliko akili, hayo ni mapenzi au kukomoana. Halafu ona ujinga wa watu utamsikia mtu akisema jana mtu kakimbia na kufuli mkononi, sasa sifa au ujinga huo?Nani alikuambia mapenzi ni vita? Kaka mapenzi starehe mkifika mwisho kila mmoja atoe asante ya safari...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JF-pWsE9wxeLN*ruBAOvt*80lYyM-rS3qTfRkgZA-9jIbMDbCUULP7wk7VuUWg8a0jNvPs-9OQf5FVofsr2AAbfM7vPWxpuT/mahaba1.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATqGbBDZoOtEN6yjWslKHXuksBYqrWSHD5DD33OTf-olRVrIDk0I-EK9RZKvrboaG3yCT4x2nojiH0fFwHik3c6/mahaba.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]
11 years ago
Habarileo07 Apr
Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*Wm6yuRZ6x15Qf8WBae0pCp*0urHCnsE0m5RT-Dl6JZOiJXlfjNBxXiAeTqgTdh*8ZW1CyPtg6bBeSqPlUEafRo/mahaba.jpg?width=650)
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXL*AF1fmCWxUk86LDfmEGsL87oUWr3gJlJboJ6q2cnTzpuD9GK1w6Z-dQYlHlFSpt-pxxZmVytpiaVIzz6PqrOn/passionatecouple.jpg?width=650)
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fzGY_E5qdL0/Ux2omAO-fkI/AAAAAAAFSsk/J1tekvG3P3A/s72-c/28151_10150180020140125_4025861_n.jpg)
raha ya vijijini...
![](http://4.bp.blogspot.com/-fzGY_E5qdL0/Ux2omAO-fkI/AAAAAAAFSsk/J1tekvG3P3A/s1600/28151_10150180020140125_4025861_n.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KWkI9YsP0p0/Ux2omTibdCI/AAAAAAAFSso/51WGVn2h5_I/s1600/28151_10150180020150125_2378676_n.jpg)
9 years ago
Habarileo20 Nov
Majaliwa aahidi raha
WAZIRI Mkuu mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Kassim Majaliwa, amewaahidi raha wanamichezo, akisema ni eneo analolifahamu vyema na wasihofu katika hilo. Kutokana na hali hiyo amesema atamshauri Rais John Magufuli kumteua Waziri atakayeshughulikia michezo yule ambaye ana uelewa mpana zaidi wa mambo ya michezo.