Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


raha ya vijijini...

 Raha ya vijijini ni chakula fresh kutoka shambani. Hapo juu Ankal akiwa Kiwira akiburudika na 'mabifu', na chini  akitoka shambani  kuchuma miwa huko Tukuyu, mkoani Mbeya

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Majaliwa aahidi raha

WAZIRI Mkuu mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Kassim Majaliwa, amewaahidi raha wanamichezo, akisema ni eneo analolifahamu vyema na wasihofu katika hilo. Kutokana na hali hiyo amesema atamshauri Rais John Magufuli kumteua Waziri atakayeshughulikia michezo yule ambaye ana uelewa mpana zaidi wa mambo ya michezo.

 

10 years ago

GPL

RAHA NA KARAHA BIA YA SITA!

Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo. Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. Baada ya kumaliza chupa ya pili kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani  huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi...

 

11 years ago

GPL

UHURU PENZINI HUONGEZA RAHA

Jamani leo nimewaletea shangingi wa kiume ambaye mli-mmisi muda mrefu. Kwa vile kapita anga zangu nimempa kesi moja aijibu kwa vile inagusa upande wake. Babu Poa uwanja ni wako si unajua mimi huwa sirembi kamua mwanaume. “Asante Anti Naa, nina imani wengi tunajua baada ya kuandaa chakula na kuanza kula kuna kitu muhimu sana ambacho wengi huwa tunakisahau. Naona macho yashakutoka kutaka kujua mnasahau nini.
“Jamani...

 

9 years ago

Habarileo

Nape aahidi raha wasanii

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema atahakikisha wanaimarisha eneo la sanaa ili liweze kufanikiwa na kuwa eneo linalojitegemea na linalojiimarisha vizuri na matunda yake kuonekana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafungwa Philippines waponda raha

Polisi nchini Philippines wang'amua gereza la anasa.

 

9 years ago

Habarileo

Ushindi wampa raha Kibadeni

USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata JKT Ruvu dhidi ya African Sports juzi umepokewa kwa mikono miwili na kocha Abdallah Kibadeni.

 

10 years ago

GPL

RAHA YA MAPENZI MBILI ZA MKWEZI!

Jamani eeh! Japokuwa ni  tamu lakini kula kwa hamu ili isiishe utamu, siku zote tamu ukizidisha hukinaisha. Vijana mkikutana jamani mnakuwa kama ugomvi wa faru, nguvu nyingi kuliko akili, hayo ni mapenzi au kukomoana. Halafu ona ujinga wa watu utamsikia mtu akisema jana mtu kakimbia na kufuli mkononi, sasa sifa au ujinga huo?Nani alikuambia mapenzi ni vita? Kaka mapenzi starehe mkifika mwisho kila mmoja atoe asante ya safari...

 

11 years ago

Mwananchi

Raha ya kusomesha mtoto wa kike

Mzazi na mkazi wa Ubungo, Juma Mkopi anatamani angejaaliwa kupata watoto wa kike pekee.

 

10 years ago

GPL

FLORA: KUZAA RAHA JAMANI!

Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’. Stori:Chande Abdallah
Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashinikiza wasanii wenzake wa kike kuzaa mapema huku akiwataka kuingia kwenye hatua ya kuitwa mama na kusema kuzaa kuna raha yake. Akizungumza na mwandishi wetu, Flora alisema baadhi ya mastaa wamekuwa na dhana potofu kwamba, ukizaa unazeeka na utakuwa hufanyi starehe, jambo ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani