Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHURU PENZINI HUONGEZA RAHA

Jamani leo nimewaletea shangingi wa kiume ambaye mli-mmisi muda mrefu. Kwa vile kapita anga zangu nimempa kesi moja aijibu kwa vile inagusa upande wake. Babu Poa uwanja ni wako si unajua mimi huwa sirembi kamua mwanaume. “Asante Anti Naa, nina imani wengi tunajua baada ya kuandaa chakula na kuanza kula kuna kitu muhimu sana ambacho wengi huwa tunakisahau. Naona macho yashakutoka kutaka kujua mnasahau nini.
“Jamani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPE UHURU MPENZI WAKO AKUPE RAHA

Si kila mwanaume anajua maana ya kupendwa, wengine huona kufanya baadhi ya vitu ni usumbufu. Kwa mfano kuoshwa, kulishwa, kufanyiwa usafi wa sehemu nyeti, kuvuliwa nguo kubebwa mgongoni wanaume wengi huona usumbufu na hii hutegemea na makabila. Jamanii, makubwa madogo yana nafuu, wakati  watu wanalilia mapenzi kwa wenza wao kuna watu wanaona eti ni usumbufu. Hii ilitokea juzi baada ya mtu na mkewe kunifuata, niliyoyasikia...

 

10 years ago

GPL

KAULI NDIYO SILAHA PENZINI

KARIBUNI kwa mara nyingine katika safu yetu maridhawa ya All About Love. Kwa mtu anayejali, lazima atakuwa akipata vitu vinavyoweza kumsaidia katika maisha yake ya kimapenzi anayoishi.Tunajua changamoto nyingi zilizopo katika mambo yetu haya ya uhusiano. Mapenzi, pamoja na utamu wake, lakini hakuna kitu hatari kama hiki katika maisha kinachoweza kukuharibia ndani ya muda mchache kuliko unavyofikiri. Watu wanamwagiana maji ya...

 

10 years ago

GPL

BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye alikiri kubanjuka na mastaa wasiopungua 15, amesema sababu zinazomsababisha asidumu na mwanaume mmoja kwenye mapenzi ni kutokana na mateso aliyoyapata kwenye ndoa ya utotoni. Muuza sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akibonga mawili matatu na paparazi wetu,  Bozi alisema tatizo la kutokuwa na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Tetesi: Jokate na Alikiba Wadaiwa Kuzama Penzini

Tetesi  za mastaa wa hapa Bongo, Jokate Mwegelo na Ally Kiba kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimezidi kupamba moto baada ya hapo jana mtangazaji wa Clouds FM Soudy Brown kumuoji Jokate juu ya ukweli wa tetesi hizo ambapo Jokate aliishia kucheka tu bila kutoa majibu.

Kwa mujibu wa Soudy kwa muda mrefu amekuwa akiwafuatilia wa wili hao kwani mara nyingi wamekuwa wakionana  wakiwa pamoja sehemu mbalimbali  kama kwenye restaurants na mara kadhaa nyumbani kwa Alikiba.

Sasa leo kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zawadi huongeza thamani ya penzi

ASALAM Aleykum msomaji wa Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii ili tuweze kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mapenzi lengo likiwa ni kustawisha mahusiano kwa wapendanao. Leo tutazungumzia nafasi ya zawadi katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Motisha huongeza ari ya utendaji kazi

MWANZONI mwa mwezi huu dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ijulikanayo kama Mei Mosi. Mara nyingi siku hii huadhimishwa kama vile walengwa ni wafanyakazi wa maofisini pekee, lakini ni siku...

 

10 years ago

GPL

MPANGILIO WA CHACHANDU HUONGEZA LADHA YA CHAKULA

Aka babu acha nicheke miye, Mungu kanipa uzima na afya tena yenye furaha mdomoni meno  ya sebuleni yapo, katikati mwanya wa uchokozi pembeni kidogo jino la dhahabu kwa nini nisicheke kuonesha nilichonacho. Najua mwenye mapengo anaona kama sikumtendea haki, jamani kucheka si lazima uwe na meno hata ukiwa huna meno we cheka tu tena jiachie mate yakiruka waombe msamaha kwani raha ya kucheka ufurahishwe.
Basi ngoja nikupashe...

 

9 years ago

Bongo5

Utafiti: Upungufu wa nguvu za kiume huongeza hatari ya kupoteza maisha mapema kwa asilimia 70

Anorgasmia

Ni kitu kinachofedhehesha ambacho huathiri shughuli ya mwanaume kitandani.

Anorgasmia

Lakini sasa, wanasayansi wameonya kuwa upungufu wa nguvu za kiume ambao kitaalam hujulikana kama (erectile dysfunction) unaweza kuwa na athari katika maisha ya mwanaume.

Wamebaini kuwa wanaume wenye matatizo hayo wana asilimia 70 ya kufa mapema. Hii ni kwasababu tatizo hilo lina uhusiano na magonjwa ya moyo.

Kwa kawaida, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ukichukuliwa kama kitu kinachoathiri watu wenye umri mkubwa....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani