Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPE UHURU MPENZI WAKO AKUPE RAHA

Si kila mwanaume anajua maana ya kupendwa, wengine huona kufanya baadhi ya vitu ni usumbufu. Kwa mfano kuoshwa, kulishwa, kufanyiwa usafi wa sehemu nyeti, kuvuliwa nguo kubebwa mgongoni wanaume wengi huona usumbufu na hii hutegemea na makabila. Jamanii, makubwa madogo yana nafuu, wakati  watu wanalilia mapenzi kwa wenza wao kuna watu wanaona eti ni usumbufu. Hii ilitokea juzi baada ya mtu na mkewe kunifuata, niliyoyasikia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NYAMA YA ULIMI MPE LAAZIZ WAKO

Mmmh mshaanza eti nimeishaingia mama Chaunabe, kitanga na njia nisiye na breki kwenye domo langu, wahenga wanasema kinywa cha mkubwa kinanuka lakini maneno hayanuki. Najua maneno yangu ya shombo huenda hayakufurahishi wewe, ambaye kila kukicha unabadili wanaume na kuonekana una hila. Shutuuu dada mwanamke tabia babu wee, mwanamke kujua mumeo anataka nini, mwanamke kujituma kwenye kiwanja kifupi cha sita kwa sita.
Unasahau cha...

 

11 years ago

GPL

NYAMA YA ULIMI MPE LAAZIZI WAKO

MMMH mshaanza eti nimeisha ingia mama Chaunabe kitanga na njia nisiye na bleki kwenye domo langu, wahenga wanasema kinywa cha mkubwa kinanuka lakini maneno hayanuki. Najua maneno yangu ya shombo huenda hayakufurahishi wewe ambaye kila kukicha unabadili wanaume na kuonekana una hila. Shutuuu dada mwanamke tabia babu wee, mwanamke kujua mumeo anataka nini, mwanamke kujituma kwenye kiwanja kifupi cha sita kwa sita.
Unasahau cha...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpenzi wako ‘kicheche’

NI matumaini yangu msomaji wa safu hii -mzima wa afya.  Leo nitaelezea jinsi ya kuzungumza na mpenzi wako pindi unapomuona anawatamani wasichana wengine pindi unapokuwa naye kwenye mkusanyiko wa watu...

 

11 years ago

GPL

UHURU PENZINI HUONGEZA RAHA

Jamani leo nimewaletea shangingi wa kiume ambaye mli-mmisi muda mrefu. Kwa vile kapita anga zangu nimempa kesi moja aijibu kwa vile inagusa upande wake. Babu Poa uwanja ni wako si unajua mimi huwa sirembi kamua mwanaume. “Asante Anti Naa, nina imani wengi tunajua baada ya kuandaa chakula na kuanza kula kuna kitu muhimu sana ambacho wengi huwa tunakisahau. Naona macho yashakutoka kutaka kujua mnasahau nini.
“Jamani...

 

9 years ago

Bongo5

Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?

Black-woman-white-man

Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?

Black-woman-white-man

Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuvaa chupi ya mpenzi wako?

Chupi inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani.

 

10 years ago

GPL

UNAKUNJAJE USO KWA MPENZI WAKO?

SIKU zinakimbia kwelikweli kuelekea mwisho wa mwaka, dunia ikijiandaa kwa ajili ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, yapata zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Wenyewe wanaita Krismas. Ni kipindi ambacho pia akina baba wanapunguza idadi ya michepuko kutokana na wingi wa mahitaji na akina mama nao wanaongeza orodha ya ATM ili wanone zaidi!
Uongo? Kama utaamua kunikatalia sitakulaumu kwa sababu huenda wewe ni mmoja...

 

10 years ago

GPL

KUNA UMUHIMU WA KUMFUATILIA, KUMCHUNGUZA MPENZI WAKO?

UHALI gani mpenzi msomaji wa safu yetu ya Show the Love. Bila shaka uko vizuri na kama pia ni mgonjwa, nakuombea kwa Mungu akutie nguvu upone haraka.Tukilifungua jamvi letu la leo, kama linavyojinasibu hapo juu katika kichwa cha habari. Mapenzi ni hisia, kuna tafsiri ambayo inasema mtu asipokufuatilia, asipokuchunguza katika mapenzi basi hakupendi. Watu utawasikia wakisema, lazima umfuatilie mpenzi wako ili ujue nyendo zake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani