MPANGILIO WA CHACHANDU HUONGEZA LADHA YA CHAKULA
![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2auDmCT*OuL2X895sFrufe1xZrQGNPA4tOoG9NQfWNYit9KS8dM*OtNdvlSYkJJV7eqwalhp*FXdVB6BzTwvSFa/maria524x630.jpg?width=650)
Aka babu acha nicheke miye, Mungu kanipa uzima na afya tena yenye furaha mdomoni meno ya sebuleni yapo, katikati mwanya wa uchokozi pembeni kidogo jino la dhahabu kwa nini nisicheke kuonesha nilichonacho. Najua mwenye mapengo anaona kama sikumtendea haki, jamani kucheka si lazima uwe na meno hata ukiwa huna meno we cheka tu tena jiachie mate yakiruka waombe msamaha kwani raha ya kucheka ufurahishwe. Basi ngoja nikupashe...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili01 Apr
Coronavirus: Je ukipoteza uwezo wa kunusa harufu na ladha ya chakula utakuwa umepata virusi vya corona?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkzhQPSlsrMYDaVLUJFQoGSJSZJy1hFlESib*9Z6Wk*vneAUEs5cQ1-nxrAtVXcqdifvOj6CHsFxtko8ksgVF2ZG/milakunissexysittingonchair.jpg?width=650)
UHURU PENZINI HUONGEZA RAHA
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Zawadi huongeza thamani ya penzi
ASALAM Aleykum msomaji wa Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii ili tuweze kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mapenzi lengo likiwa ni kustawisha mahusiano kwa wapendanao. Leo tutazungumzia nafasi ya zawadi katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k6uO9SsnvCst*n1ihcjOSV6QOuuH*rYuZR0oJvsJyP-vhLiyOJHViL6DWKbW90j8bOY0c*dEm7blyBUiLoNgFzq/Blausen_0732_PIDSites.png?width=650)
KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j1p4RyN1iWjpsCG54X6*jLwUE6t6XMRYXyAmPUFlvxLlqHxMV35IRTuFH1lRxlSPdZsHpe9pBk3ERO0qDDB5r7q/Z1hiq.jpg?width=650)
KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)-2
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
DOMINICA HAULE: Mwanaharakati anayeamini mafanikio huja kwa mpangilio
LEO namzungumzia Dominica Haule, mwanahabari mkongwe, mwanaharakati wa haki za binadamu anayepambana bila kelele, makeke, majigambo au mashindano. Anaamini utetezi wa haki za binadamu na suala zima la jinsia linahitaji...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Motisha huongeza ari ya utendaji kazi
MWANZONI mwa mwezi huu dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ijulikanayo kama Mei Mosi. Mara nyingi siku hii huadhimishwa kama vile walengwa ni wafanyakazi wa maofisini pekee, lakini ni siku...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ok3TnQmT8Fg/XvOIkrSxxZI/AAAAAAALvTc/TDPd2UcxjPs42pR6lUBuJ5b1EMbJzZXqgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200622_112633_3-scaled.jpg)
Zainab -ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio kujiepusha na vitambi
![](https://1.bp.blogspot.com/-ok3TnQmT8Fg/XvOIkrSxxZI/AAAAAAALvTc/TDPd2UcxjPs42pR6lUBuJ5b1EMbJzZXqgCLcBGAsYHQ/s1600/IMG_20200622_112633_3-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/IMG_20200622_112958_2-scaled.jpg)
NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE
OFISA Lishe wa halmashauri ya Chalinze,mkoani Pwani, Zainab Waziri ,ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio na kuzingatia lishe bora kwa afya ya binadamu ili kujiepusha kupata uzito mkubwa, vitambi na matumbo makubwa kwa akinamama.
Akizungumza wakati wa zoezi la upimaji uzito wa mwili,sukari ,shinikizo la damu na upimaji wa hali ya lishe, kwa watumishi wa halmashauri hiyo ,alisema wameamua kufanya zoezi hilo ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati ya...
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
NACADA yaharamisha ladha za Shisha