DOMINICA HAULE: Mwanaharakati anayeamini mafanikio huja kwa mpangilio
LEO namzungumzia Dominica Haule, mwanahabari mkongwe, mwanaharakati wa haki za binadamu anayepambana bila kelele, makeke, majigambo au mashindano. Anaamini utetezi wa haki za binadamu na suala zima la jinsia linahitaji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziZainab -ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio kujiepusha na vitambi
NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE
OFISA Lishe wa halmashauri ya Chalinze,mkoani Pwani, Zainab Waziri ,ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio na kuzingatia lishe bora kwa afya ya binadamu ili kujiepusha kupata uzito mkubwa, vitambi na matumbo makubwa kwa akinamama.
Akizungumza wakati wa zoezi la upimaji uzito wa mwili,sukari ,shinikizo la damu na upimaji wa hali ya lishe, kwa watumishi wa halmashauri hiyo ,alisema wameamua kufanya zoezi hilo ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati ya...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Polisi jela kwa kumuua mwanaharakati Rwanda
11 years ago
Mwananchi10 May
MAKALA: Vinyozi: Kuna watu huja kuiba nywele za wateja
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
SHIDA SALUM: Mwanaharakati, mwanasiasa aliyepigania keki kwa wengine
KATIKA Safu ya Mwanamama, nawaletea aliyekuwa mtetezi wa walemavu na mwanaharakati wa haki za binadamu Shida Salum. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto...
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Mafuriko yaua 20 Dominica
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
HAMDANI SARAHANI ‘MIDO’: Yoso anayeamini akili, kipaji vitambeba Azam
UKIHUDHURIA majaribio yanayoendeshwa na klabu ya Azam FC kuwapata vijana wadogo kwa ajili ya kuwasajili, utagundua namna vijana wengi nchini walivyo na kiu, hamu na hamasa ya kujiunga na matajiri...
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Jamhuri ya Dominica yateketeza silaha
10 years ago
MichuziBALOZI JOHN MICHAEL HAULE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMUHURI YA KENYA, LEO
11 years ago
CloudsFM29 May
MSANII LUCY KOMBA AKATISHA ZIARA YAKE YA DENMARK KWA AJILI YA MSIBA WA RACHEL HAULE
STAA Nguli wa filamu za Kibongo,Lucy Komba amekatisha ziara yake ya nchini Denmark kwa ajili ya kuhudhulia msiba wa msanii mwenzake aliyefariki leo katika hospitali ya taifa Muhimbili kutokana na matatizo ya uzazi. Kupitia account yake ya instagram Lucy aliandika hivi..jamani wapenzi wetu wa bongo movie nasikitika sana kuona wasanii wenzangu wanafariki bila mimi kuwepo nchini, nimeamua kukatiza ziara kurudi bongo kwa ajili ya msiba nitaondoka kesho mniombee safari njema. RIP mngoni...