KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze mada nyingine. Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke huambatana na tatizo katika kuta za ndani za kizazi ambapo mwanamke hulalamika pia kuumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara. Cervicitis ni maambukizi sugu ya mlango na shingo ya kizazi ambapo mwanamke hupatwa na maumivu wakati wa tendo la kujamiiana na hata kutokwa na damu. Kasoro...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)
10 years ago
Michuzi12 Aug
11 years ago
GPL
OYA MASELA BINADAMU DAMU, BILA DAMU SANAMU!
5 years ago
Michuzi
Zainab -ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio kujiepusha na vitambi


NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE
OFISA Lishe wa halmashauri ya Chalinze,mkoani Pwani, Zainab Waziri ,ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio na kuzingatia lishe bora kwa afya ya binadamu ili kujiepusha kupata uzito mkubwa, vitambi na matumbo makubwa kwa akinamama.
Akizungumza wakati wa zoezi la upimaji uzito wa mwili,sukari ,shinikizo la damu na upimaji wa hali ya lishe, kwa watumishi wa halmashauri hiyo ,alisema wameamua kufanya zoezi hilo ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati ya...
11 years ago
TheCitizen08 Sep
Abnormal salary payments for teachers
10 years ago
GPL
UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)
10 years ago
TheCitizen16 May
‘Bleeding’ Burundi not ready for polls, says Membe
10 years ago
GPL
KASORO KATIKA KIZAZI ( UTERINE SEPTUM)
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA