Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASORO KATIKA KIZAZI ( UTERINE SEPTUM)

Hii ni hali ambayo mwanamke anazaliwa akiwa na kasoro katika kizazi, ni kasoro ya kuzaliwa nayo ambayo mwanamke mwenyewe hajui. Kizazi hugawanyika katikati toka juu hadi chini. Kizazi chenye kasoro hizi huonekana cha kawaida kwa nje lakini tatizo lipo kwa ndani. Mgawanyiko huu unaweza kukamilika au usifike mwisho. Mwanamke mwenye tatizo hili pia huwa na milango miwili ya kizazi ‘Double Cervix’ na hata kasoro ikiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)

Fibroid ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii ya uvimbe bado hakijulikani lakini ni tatizo linalosumbua zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa.
Umri wa kuzaa ni ule kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa kuzaa. Umri wa kuvunja ungo ni kati ya miaka kumi na mbili hadi kumi na tano, hapa tunategemea mwanamke anaweza kuvunja ungo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yabaini kasoro katika magari

Mamilioni ya magari yanarejeshwa kiwandani kutokana na kasoro katika mfumo wa usalama wa mifuko ya hewa katika magari

 

10 years ago

Mwananchi

CCM, wapinzani walalamikia kasoro nyingi zilizojitokeza katika uchaguzi

Katika hali isiyotarajiwa na wengi karibu viongozi wote wa vyama vya siasa wakiwamo wa Chama tawala CCM waliohojiwa kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wamelalamikia uchaguzi huo na kuainisha kasoro mbalimbali zilizochangia kuvuruga kazi hiyo yote. Baadhi ya kasoro hizo ni pamoja na kukosekana kwa majina ya wapiga kura, majina ya wagombea kujichanganya na nembo za vyama kuwekwa tofauti. Kasoro zingine ni kuchelewa kuanza kwa uchaguzi huo, majina ya watu kutumika kupigiwa kura na...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2

Aina za uvimbe wa Fibroid
Fibroid zinatofautishwa kutokana na sehemu ilipotokea. Zipo zinazotokea ndani ya mji wa mimba na nyingine zinatokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba. Msomaji tambua kuwa karibu asilimia 75 ya wanawake wenye Fibroid hawajui kama wana tatizo hilo. Si rahisi mtu kuona dalili na kutambua mara moja kuwa ana tatizo la Fibroids. Utambuzi wa dalili za Fibroid hutegemea ukubwa wake na mahali zilipo kwenye...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Kama tulivyokuwa tukipeana elimu ya afya zetu wiki zilizopita, huu  pia ni mwendelezo wa mada ya vimbe katika kizazi cha mwanamke ambapo leo nitaelezea athari zake.  Mara nyingi mwanamke anagundulika na tatizo la Fibroid kama ataenda hospitali kwa lengo la kutafuta ujauzito, niwakumbushe wasomaji kuwa kama unaona una  maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa muda mrefu, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuvurugika kwa...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA MFUMO WA KIZAZI (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Mambukizi katika mfuko wa kizazi au kitaalamu pelvic inflammatory disease ni maambukizi ya vijidudu yanayoshambulia sehemu ya ndani ya viungo vya uzazi kama vile mji wa mimba, mirija ya uzazi (follopian tubes), mifuko ya uzazi (ovaries), na viungo vingine vya uzazi vilivyopo kwenye  nyonga ya mwanamke ambapo vijidudu hivyo huweza kuleta madhara makubwa kama kutengeneza jipu kati ya mirija ya  uzazi na mifuko ya  mayai...

 

10 years ago

GPL

KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)

Tatizo hili kwa ufupi huitwa ‘AUB’ mzunguko wa hedhi wa kawaida kwa mwanamke ni siku 28 na damu hutoka kwa siku nne, ingawa huwa inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke kwa kuwa wapo wenye mzunguko mfupi na wenye mzunguko mrefu tutakuja kuona katika mada zijazo. Mwanamke anayetokwa na damu kwa muda mrefu mara kwa mara huwa tunasema ana tatizo liitwalo ‘menometrorrhagia’. Mwanamke ambaye anapata damu...

 

10 years ago

GPL

KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze mada nyingine.
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke huambatana na tatizo katika kuta za ndani za kizazi ambapo mwanamke hulalamika pia kuumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara. Cervicitis ni maambukizi sugu ya mlango na shingo ya kizazi ambapo mwanamke hupatwa na maumivu wakati wa tendo la kujamiiana na hata kutokwa na damu. Kasoro...

 

10 years ago

Michuzi

from mji kasoro bahari....

Dear friends;Motown Club - Morogoro (formerly 4Stars) present Motown KunaMambo starting 3rd of April 2015 and every Friday from 7:00pm; come dine and dance to the live sounds of Afro Jazz, Salsa, Rhumba,Charanga, Raggae and much more!...with a gate contribution of 10,000tsh per person; Cash bar, delicious food and snacksRespect yourself, do not miss this! Karibu

Inline image

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani