Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)

Tatizo hili kwa ufupi huitwa ‘AUB’ mzunguko wa hedhi wa kawaida kwa mwanamke ni siku 28 na damu hutoka kwa siku nne, ingawa huwa inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke kwa kuwa wapo wenye mzunguko mfupi na wenye mzunguko mrefu tutakuja kuona katika mada zijazo. Mwanamke anayetokwa na damu kwa muda mrefu mara kwa mara huwa tunasema ana tatizo liitwalo ‘menometrorrhagia’. Mwanamke ambaye anapata damu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze mada nyingine.
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke huambatana na tatizo katika kuta za ndani za kizazi ambapo mwanamke hulalamika pia kuumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara. Cervicitis ni maambukizi sugu ya mlango na shingo ya kizazi ambapo mwanamke hupatwa na maumivu wakati wa tendo la kujamiiana na hata kutokwa na damu. Kasoro...

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA BINADAMU DAMU, BILA DAMU SANAMU!

Inakuwaje watu wangu wa nguvu? Niaje…niaje kitaa hiyo? Hapo Roki Siti mzuka? Hapa vumbi tu! Ama nini? Kama vipi karibu jamvini tukisanue tugedha! Kwani kuna mbaya? Haina kwikwi jamaa yangu. Hapa mdogomdogo bati weka mbali na madongo…ooohooo! Utaambulia patupu ndani ya dakika ziro. Kuna mnyama wangu mmoko kaniteli kuwa ni bora kupanga kwa faza hausi kuliko maza hausi! Unanyaka kwa nini? Selaa anakuteli kuwa washua...

 

5 years ago

Michuzi

Zainab -ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio kujiepusha na vitambi










NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE



OFISA Lishe wa halmashauri ya Chalinze,mkoani Pwani, Zainab Waziri ,ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio na kuzingatia lishe bora kwa afya ya binadamu ili kujiepusha kupata uzito mkubwa, vitambi na matumbo makubwa kwa akinamama.

Akizungumza wakati wa zoezi la upimaji uzito wa mwili,sukari ,shinikizo la damu na upimaji wa hali ya lishe, kwa watumishi wa halmashauri hiyo ,alisema wameamua kufanya zoezi hilo ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati ya...

 

10 years ago

TheCitizen

Abnormal salary payments for teachers

The government has been paying some primary school teachers, including ‘ghosts’, at least Sh7 million per month, Sunday Monitor has established. Some of the ghosts have been paid salary advances up to April 2018.

 

10 years ago

GPL

UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)

Fibroid ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii ya uvimbe bado hakijulikani lakini ni tatizo linalosumbua zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa.
Umri wa kuzaa ni ule kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa kuzaa. Umri wa kuvunja ungo ni kati ya miaka kumi na mbili hadi kumi na tano, hapa tunategemea mwanamke anaweza kuvunja ungo...

 

10 years ago

TheCitizen

‘Bleeding’ Burundi not ready for polls, says Membe

>Strife-torn Burundi cannot hold polls now because of security concerns, Tanzania’s Foreign Affairs and International Cooperation  minister Bernard Membe said in Dar es Salaam yesterday.

 

9 years ago

GPL

KASORO KATIKA KIZAZI ( UTERINE SEPTUM)

Hii ni hali ambayo mwanamke anazaliwa akiwa na kasoro katika kizazi, ni kasoro ya kuzaliwa nayo ambayo mwanamke mwenyewe hajui. Kizazi hugawanyika katikati toka juu hadi chini. Kizazi chenye kasoro hizi huonekana cha kawaida kwa nje lakini tatizo lipo kwa ndani. Mgawanyiko huu unaweza kukamilika au usifike mwisho. Mwanamke mwenye tatizo hili pia huwa na milango miwili ya kizazi ‘Double Cervix’ na hata kasoro ikiwa...

 

11 years ago

GPL

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani