Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Je ukipoteza uwezo wa kunusa harufu na ladha ya chakula utakuwa umepata virusi vya corona?

Hata hivyo wataalamu wanasisitiza kuwa dalili kuu ni homa na kikozi ndio za kuzitazama zaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Joshna Maharaj: Mpishi maarifu atoboa siri kuwa hakuwa na uwezo wa kunusa harufu yoyote kwa miaka mitano

Joshna Maharaj anaeleza namna alivyoikabili hali hii kwa miaka, baada ya kupoteza uwezo wa kunusa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona : Rais Ramaphosa asema mlipuko wa virusi utakuwa mbaya zaidi

Cyril Ramaphosa ametangaza kulegeza masharti ya kukaa nyumbani, na uuzaji wa vilevi unatarajiwa kuanza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Changamoto anazokumbana nazo asiye na uwezo wa kuona wakati wa janga la Corona

Janga la coronavirus limesababisha matatizo kwa kila mmoja. Lakini je umewahi kujiuliza hali ikoje kwa wasio na uwezo na kuona?

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Makahaba wahangaika kwa ukosefu wa chakula

Makahaba nchini Uganda wamekiri kutaabika kipindi hiki cha corona kwa ukosefu wa wateja wakilalamikia kukosa hata chakula.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ni kwanini mpishi huyu anapika chakula akidensi?

Mpishi raia wa Kenya anayeishi nchini Ujerumani, Carol Waithira Mühlenbrock, ametajwa kama mchezadensi mpishi ambaye anawaliwaza watu wakati wa janga la Covid-19.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Zanzibar yapokea mashine yenye uwezo wa kupima watu 288 kwa siku

Tanzania imekuwa ikikosolewa kwa kutokutoa takwimu za corona kwa wakati.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Waziri asimamishwa kazi kwa kushiriki chakula na rafiki yake A.Kusini

Waziri wa habari nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa miezi miwili mwezi mmoja bila mshahara kwa kupata chakula cha mchana na rafiki yake wakati huu ambao kuna amri ya kutotoka nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani