Wafungwa Philippines waponda raha
Polisi nchini Philippines wang'amua gereza la anasa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV16 Dec
Wafungwa wakutwa wakila raha gerezani.
Polisi mjini Manila wamevamia gereza moja na kuushangaza umma wa Philippines baada ya kung’amua maisha ya anasa yanayoendelea ndani ya gereza hilo kwa kikundi cha baadhi ywa wafungwa wenye upendeleo wa kipekee.
Uvamizi huo umefanywa katika gereza hilo la Bilibid lenye wafungwa wengi nchini humo kufuatia taarifa kwamba mtandao wa dawa za kulevya nchini humo unafanya kazi katika gereza hilo kwa njia za panya.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/05/02/140502122905_philippine_police_cyber_crime_press_conference_512x288_afp_nocredit.jpg)
Baada ya uvamizi huo maafisa wa polisi walikuta...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Wasomi waponda serikali tatu
WASOMI nchini wamezidi kukataa muundo wa serikali tatu wakidai hauna manufaa kwa Watanzania. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Profesa Bonaventure Rutinwa wa Chuo Kikuu cha Dar...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Wanasiasa waponda anasa, wananchi wanateseka!
SIASA ni itikadi na msingi wa kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya jamii. Ni mbinu ya utekelezaji wa jambo kwa kutumia busara na hekima ili kufikia lengo...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Wajumbe CCM waponda hotuba ya Jaji Warioba
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Mashabiki waponda video ‘Tema Mate Tuwachape’
MASHABIKI wa muziki wa kizazi kipya nchini wameiponda video mpya ya wimbo wa ‘Tema Mate Tuwachape’ ulioimbwa na kiongozi wa kundi la muziki la Tip Top Connection, Ahmad Ally ‘Madee’,...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Washauri waponda kokoto kupewa ajira nyingine
MJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Dk Pudensiana Kikwembe ameshauri wanawake wanaofanya kazi ya kuponda kokoto katika bandari mpya ya Kiwira iliyopo Ziwa Nyasa wilayani Kyela watafutiwe kazi nyingine ya ujasiriamali.
11 years ago
TheCitizen03 Apr
High-flying Tanzania face the Philippines in Brazil
5 years ago
Al Jazeera English18 Feb
Philippines 'ill-prepared' as it grapples with coronavirus threat
5 years ago
Outbreak News Today19 Feb
Fiji reports imported measles case from the Philippines