Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafungwa wakutwa wakila raha gerezani.

Polisi mjini Manila wamevamia gereza moja na kuushangaza umma wa Philippines baada ya kung’amua maisha ya anasa yanayoendelea ndani ya gereza hilo kwa kikundi cha baadhi ywa wafungwa wenye upendeleo wa kipekee.

Uvamizi huo umefanywa katika gereza hilo la Bilibid lenye wafungwa wengi nchini humo kufuatia taarifa kwamba mtandao wa dawa za kulevya nchini humo unafanya kazi katika gereza hilo kwa njia za panya.

Polisi nchini Phillipines

Baada ya uvamizi huo maafisa wa polisi walikuta...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wafungwa watoroka gerezani mjini Bangui

Takriban wafungwa 500 wametoroka gerezani mjini Bangui nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti Maalumu; Wafungwa waagiza nyamapori gerezani

Katika gazeti hili jana tulianza kuwaletea mfululizo wa Ripoti Maalumu kuhusu kubainika kuwapo kwa mtandao wa uhalifu ambao unawawezesha baadhi ya watu kuratibu matukio ya uhalifu wakiwa gerezani katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafungwa Philippines waponda raha

Polisi nchini Philippines wang'amua gereza la anasa.

 

10 years ago

Mwananchi

RIPOTI MAALUM: Wafungwa waendesha uhalifu wakiwa gerezani

Wakati Serikali ikihaha kukabiliana na vitendo vya uhalifu, imebainika kuwapo kwa mtandao wa uhalifu ambao unawawezesha baadhi ya watu waliofungwa kuratibu matukio ya uhalifu wakiwa gerezani katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

11 years ago

Habarileo

Mashekhe wapigwa bomu wakila daku

WAKATI Waislamu wakiwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, watu wasiojulikana juzi walivamia nyumba ya Mkurugenzi wa Kanda ya Kaskazini wa Taasisi ya Kiislamu ya Answar Muslim Youth Centre, Shekhe Soud Ally Soud na kurusha kitu kinachodhaniwa kuwa bomu na kumjeruhi shekhe huyo na mgeni wake kutoka Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI ANASWA NA WANAWAKE WATATU GESTI WAKILA

Pasta John Paul Simon Rubanguka akijaribu kujitetea.
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa sababu wote ni Wakristo.Pasta John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar baada ya kunaswa na wanawake...

 

9 years ago

StarTV

Wahanga wa mgodi nyangarata wasimulia walivyoweza kuishi kwa siku 41 wakila wa dudu

Wahanga wa maafa ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mkoani Shinyanga takribani Siku 41 wakiwa chini ya Ardhi wamesema kuwa waliofanikisha kunusuru maisha yao kwa kula wadudu walipokuwa katika shimo hilo.

Hata hivyo kati ya wahanga 6 mmoja aliyetambulika kwa jina la Mussa Supana  alipoteza maisha na watano walinusurika na  kulazwa kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama, huku viungo vyao vikiwa vimekakamaa na hali zao bado taabani kufuatia kukosa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani