RAHA NA KARAHA BIA YA SITA!
![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEUzpPTKi7PIvBAfw7it00YZzuJBTXKktKkGyB3rw*yFqYM-W-UMmwp4zLTTeixeuyBCcx*oYggeDFOdW16N54lV/kitime.jpg?width=650)
Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo. Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. Baada ya kumaliza chupa ya pili kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Raha, karaha za mapinduzi ya huduma za kibenki
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Raha na karaha za kusoma nje ya Tanzania
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATqGbBDZoOtEN6yjWslKHXuksBYqrWSHD5DD33OTf-olRVrIDk0I-EK9RZKvrboaG3yCT4x2nojiH0fFwHik3c6/mahaba.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Raha na karaha ya kusoma nje ya nchi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JF-pWsE9wxeLN*ruBAOvt*80lYyM-rS3qTfRkgZA-9jIbMDbCUULP7wk7VuUWg8a0jNvPs-9OQf5FVofsr2AAbfM7vPWxpuT/mahaba1.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!-2
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kXkjqGyOlM4/XoNCUqFvUuI/AAAAAAALlrw/oVsNM8wVXhIgnkOtZ3mzQbubBwsXpCHYQCLcBGAsYHQ/s72-c/daladala-dar-es-salaam.jpg)
DALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.
Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...
10 years ago
MichuziWANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Karaha za kupanga nyumba Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KqRhmT1LLD72iPdgCjrN*smv2qtq*ZQijZHvdRB6x6upqeyRuLhUHaZNq2qRxAnNU0pbLRYxzzwYKHmJTc0rty/couple85620250.jpg?width=650)
UKICHUNIWA SHIDA! UKIPENDWA KARAHA, UFANYIWE LIPI SASA?