Raha na karaha za kusoma nje ya Tanzania
Pamoja na jitihada za Serikali kuboresha elimu nchini, wazazi wengi wanapenda kuwapeleka watoto wao nje ya nchi kusoma wakiamini kuwa huko kuna elimu bora zaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Raha na karaha ya kusoma nje ya nchi
Ndoto au azma ya kupata elimu bora imewasukuma baadhi ya watu kutamani kusoma elimu yao ya juu nje ya nchi hasa Ulaya, Marekani au katika nchi za Bara la Asia.
10 years ago
GPLRAHA NA KARAHA BIA YA SITA!
Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo. Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. Baada ya kumaliza chupa ya pili kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi...
11 years ago
GPLMAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!-2
TUNAENDELEA kujifunza katika mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho. Nilishafafanua mengi lakini niliishia pale niliposema kwamba, ukweli kwa wapenzi ni jambo la msingi. Unapojaribu kudanganya wakati ukweli unao moyoni kuwa huna nia ya kumuoa (kama ni mwanaume), siku ukimuacha akitamka neno lolote baya ujue linaweza kukufika na maisha yako yakaanza kuwa hatarini (kimafanikio). Hii inamaanisha kuwa kama...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Raha, karaha za mapinduzi ya huduma za kibenki
Benki hiyo iliyoanzishwa wakati wa iliyokuwa Tanganyika chini ya ukoloni wa Ujerumani, ililenga kuratibu sarafu na noti za zilizokuwa zikitumika nchini.
11 years ago
GPLMAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!
BILA shaka utakuwa mzima wa afya njema, karibu katika safu yenu ambayo huboresha uhusiano na wenzi wetu. Mpenzi msomaji wangu, mapenzi yana raha na karaha zake. Huo ni ukweli ambao hauwezi kubadilishwa, lakini pamoja na hayo, raha ya mapenzi ni furaha. Huwezi kuwa kwenye mahusiano yenye matatizo kila siku. Hata hivyo, yanaweza kuwa karaha ikiwa utaamua iwe hivyo. Ni suala la kuamua tu. Inawezekana kero zikasababishwa na sisi...
5 years ago
MichuziDALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.
Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...
9 years ago
Habarileo25 Sep
GEL yawezesha wanafunzi 320 kusoma nje ya nchi
ZAIDI ya wanafunzi 320 wameondoka nchini kwenda vyuo mbalimbali vya nje ya nchi kwa mwaka wa masomo 2015/16. Safari hiyo imewezeshwa na Kampuni ya kizalendo ya Global Education Link (GEL).
10 years ago
GPL10 years ago
Mwananchi19 Jul
SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?
Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania