Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GEPF katika maonyesho ya siku ya viwanda jijini Dar

Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Dkt. Abdallah Kigoda akipata maelezo ya namna ya kunufaika baada ya kujiunga na Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo, Albert Kitunga, wakati alipotembelea banda la maonesho la GEPF kwenye maonyesho ya siku ya viwanda yanayoendelea kwenye viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ‘sabasaba’ Dar es Salaam.Afisa Masoko wa Mfuko wa GEPF, Albert Kitunga akimuonyesha Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Dkt. Abdallah Kigoda fomu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Kazi na Ajira atembelea Banda la GEPF kwenye maonyesho ya Sabasaba jijini Dar leo

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF,kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es salaam leo.Mwenye Fulana nyeusi ni Meneja Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw Aloyce Best Ntukamazina. Meneja Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF,Bw. Aloyce Best Ntukamazina akitoa maelezo ya kina kwa...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF YAWAKIVUTIO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

Wananchi wakipata maelekezo kutoka kwa mwakilishi wa mfuko wa GEPF,  katika monyesho ya utumishi wa umma yaliyokiwa yakifanyika katyika viwanja vya Mnazi moja jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

PSPF yashiriki katika maonyesho ya TCU jijini Dar

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi hawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Frederick Mossi (Kushoto) na Afisa...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Afisa Tawala, Idara ya Wakimbizi, Jeremia Chuma akitoa maelezo kwa Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha, kuhusu huduma zinazotolewa kwa wakimbizi nchini, wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Dar es Salaam. Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha , akisaini kitabu alipowasili katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kushiriki katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja,...

 

10 years ago

Michuzi

DEGE ECO - VILLAGE YAFANYA VYEMA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wameweza kushiriki vyema maonyesho ya maonesho 39 ya kimataifa ya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo wa Dege Eco - Village, Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kuwafikia watanzania wengi ambao walikuwa na shauku ya kujua huduma wanazo zitoa iki ni pamoja na kununua nyumba wanazojenga katika mradi wao."Tunashukuru Kila mmoja alikuwa akipita hapa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA-IDARA YA BAJETI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIBIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Adam Msumule akizungumza na Michuzi Blog mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Fedha  kuhusiana na bajeti iliyopitishwa hivi karibuni Bungeni Dodoma katika maonyesho ya 39 ya kibiashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Kulia ni Msimamizi  Mkuu wa fedha- Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Moses Ndeutwa. Wananchi wakipewa maelekezo katika banda la wizara ya Fedha Idara ya Bajeti katika maonyesho ya 39 ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

 Wananchi wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa  bei  uliyoweka na fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Madhari ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda  ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwananchi akipata maelezo katika banda la Menejimenti  ya Utumishi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.  Mwananchi akipata maelezo katika banda la Wizara ya Fedha Katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam 
 Mwananchi  akipata maelezo katika banda la Wakala wa Majengo (TBA) katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani