Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL PEACE FOUNDATION, TAWI LA TANZANIA KUHAMASISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Viongozi mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tawi la Tanzania (GPFTZ), Martha Nghambi (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha amani nchini Tanzania katka kipindi hiki  kuelekea uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Baraza la Taasisi ya Viongozi wa Dini Tanzania (IRCPT), Mchungaji Thomas Goda na kushoto ni Ofisa Utawala wa GPFTZ, Hilda Ngaja.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GLOBAL PEACE FOUNDATION KUFANYA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR

Kiongozi wa Global Peace Foundation, Arnold Kashembe (wa pili kushoto) akizungumza jambo. Wanahabari wakichukua matukio mbalimbali.…

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA GLOBAL PEACE FOUNDATION (GPF) LAANDAA KONGAMANO KUBWA LA VIJANA LA KUJADILI AMANI, KUFANYIKA ZANZIBAR KUANZIA JULAI 12, 2015

  Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kongamano kubwa la vijana  litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa...

 

9 years ago

Mwananchi

IGP Mangu ataka amani kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25

Mkuu wa Jeshi la Polisi  Nchini (IGP), Ernest Mangu amewataka wadau wa amani Mkoa wa Mara kuhakikisha amani inakuwepo katika kipindi chote cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

Wananchi watakiwa kuepuka uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu

Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko juu ya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na baadhi ya watu kufanya vitendo vyenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani.

Zaidi ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi na 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yakiwa na jumla ya watuhumiwa 52.

 

Akitoa tamko hilo msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi SSP Advera Bulimba amesema katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAHIKIKISHIA AMANI NA USALAMA WANANCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

Serikali imewakikishia Amani na Usalama wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na vyombo vya habari Visiwani Zanzibar

 

9 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YAKAMILIKA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka  na Chrismas , ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Hapa mkutano na wanahabari ukiendelea. Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo. Mwimbaji wa… ...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.

 Muandaaji wa matamasha hapa nchini Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na maandalizi ya tamashala kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. pia amesema kuwa katika tamasha hilo litahuzuliwa na watu mbalimbali akiwemo mwimbaji mahili wa nyimbo za Injili hapa nchini Rose Mhando pamoja na Solomoni mwimbaji wa nyimbo hizo Solomon Mkubwa ameyasema hayo katika ofisi zake zilizopo kinondoni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa kamati ya...

 

9 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOSHENI KUANDAA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI HAPA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Muandaaji wa matamasha ya injili hapa nchini, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kuhusiana na tamasha la kuombea Amani ya nchi juu ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu hapa nchiini na kushoto ni Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya tamasha la kuombea amani ya nchi yetu kuelekea uchaguzi, Hamis Pembe. Msama pia aliipongeza serikali kwa kukataza uwanja wa taifa kutumika kufanyia matukio ya kisiasa. Pia amesema kuwa katika tamasha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani