Go for Zanzibar (GOZA) a German NGO supports the Welezo Old Age Home
Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax na mwaka mpya kulia Msimamizi wa Kijiji hicho Sister Mary Gemma na Hassan Khamis hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee hao welezo jana.
Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziGo for Zanzibar (GOZA) a German NGO supports the Welezo Old Age Home in the isles
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shein atoa mkono wa Eid El Hajj kwa wazee wa Welezo na Sebleni Zanzibar
9 years ago
VijimamboMKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN ATOWA MKONO WA EID EL HAJJ KWA WAZEE WA WELEZO NA SEBLENI ZANZIBAR
10 years ago
BBC04 Aug
German MP opens home to migrants
10 years ago
TheCitizen05 Feb
Home coming for German resident 23 years later
9 years ago
TheCitizen02 Oct
TZ NGO brings home global conservation award
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9H65FIMd4Ao/VmmGlFR8oTI/AAAAAAAILeY/9HZZBSyQt6g/s72-c/1.jpg)
KAMISHENI YA WACHEZAJI TANZANIA (KAWATA)YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA KATIKA UKUMBI WA KITUO CHA UTENGAMANO WELEZO MJINI ZANZIBAR
Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) wamewataka Viongozi wa Mashirika ya Vyama vya Michezo Tanzania kusaidiana na wanamichezo mbalimbali ili kufikia hadhi ya kimataifa .
Hayo yameelezwa na na Katibu mtendaji wa TOC Jamal Nassor Adi huko Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar wakati alipokua akifungua Mkutano mkuu wa mwaka wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania . Amesema lengo kuu la mkutano huo ni kuhamasisha na kuamsha ari kwa Wachezaji ili kuweza...
9 years ago
MichuziRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.
Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya.
10 years ago
TheCitizen15 Feb
STRAIGHT TALK: Zanzibar is safe, German leader proves it