Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Go for Zanzibar (GOZA) a German NGO supports the Welezo Old Age Home in the isles

Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha , wakimkabidhi  msaada Mwakilishi wa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar  Mzee Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax  na mwaka mpya  kulia Msimamizi wa Kijiji hicho Sister Mary Gemma na Hassan Khamis hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee hao welezo jana
Mwakilishi wa Wazee Welezo Mzee Shein, akimshukuru Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Go for Zanzibar (GOZA) a German NGO supports the Welezo Old Age Home

Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha, wakimkabidhi  msaada Mwakilishi wa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax  na mwaka mpya  kulia Msimamizi wa Kijiji hicho Sister Mary Gemma na Hassan Khamis hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee hao welezo jana.

Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na...

 

10 years ago

IPPmedia

German President meets religious leaders in Isles


eTurboNews
German President meets religious leaders in Isles
IPPmedia
Federal President of German Joachim Gauck is expected to ferry tomorrow morning to Zanzibar where he will host a forum with high ranking religious leaders to promote dialogue for peace and unity. Gauck who was born into a family of sailors, is the first ...
German President set to visit tourist attractions in TanzaniaeTurboNews
German president due in Tanzania‏ MondayJournal of Turkish Weekly

all 3

 

9 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shein atoa mkono wa Eid El Hajj kwa wazee wa Welezo na Sebleni Zanzibar

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN ATOWA MKONO WA EID EL HAJJ KWA WAZEE WA WELEZO NA SEBLENI ZANZIBAR

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa Welezo...

 

10 years ago

BBC

German MP opens home to migrants

A German conservative MP, Martin Patzelt, is looking after two Eritrean refugees in his home and helping them find jobs.

 

10 years ago

TheCitizen

Home coming for German resident 23 years later

At the entrance of the Arusha Technical College (ATC) is a huge power generator which tells all about the German support for the 37 year old college.

 

9 years ago

TheCitizen

TZ NGO brings home global conservation award

Tanzanian environmental conservation organization, Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA) has won the prestigious UNDP Equator Prize 2015. The award celebrates global community poverty reduction efforts in the face of growing climate change.

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHENI YA WACHEZAJI TANZANIA (KAWATA)YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA KATIKA UKUMBI WA KITUO CHA UTENGAMANO WELEZO MJINI ZANZIBAR

Na Rahma Khamis /Miza Othman -Maelezo Zanzibar.
Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) wamewataka Viongozi wa Mashirika ya Vyama vya Michezo Tanzania kusaidiana na wanamichezo mbalimbali ili kufikia hadhi ya kimataifa .
Hayo yameelezwa na na Katibu mtendaji wa TOC Jamal Nassor Adi huko Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar wakati alipokua akifungua Mkutano  mkuu wa mwaka wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania . Amesema lengo kuu la mkutano huo ni kuhamasisha na kuamsha ari kwa Wachezaji ili kuweza...

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.


Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mafuta ya Kupikia Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani