Green Waste Pro Ltd yakabidhi makasha ya kuhifadhia taka shule ya msingi Bunge
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Bunge Bi. Khadija Telela, akizungumza na Meneja wa uendeshaji wa kampuni ya Green Waste Pro Ltd, Abdallah Mbena aliyeambata na Afisa Rasilimali watu wa kampuni ya Green Waste Pro Ltd, Naima Mpili (kulia) waliofika shuleni hapo kukabidhi rasmi makasha ya kuhifadhia taka.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Usafi ya Green Waste Pro imetimiza ahadi yake ya kuipatia shule ya Msingi Bunge makasha ya kuhifadhia taka na vifaa vya usafi wa mazingira iliyoitoa mwaka...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
GPLMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
Green Waste Pro ltd washindi tuzo ya mazingira
Meneja wa uendeshaji wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd, Abdallah Mbena akitoa maelezo ya baadhi ya vifaa (havipo pichani) wanavyotumia katika kusafisha manispaa ya Ilala kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) wakati wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani zilizofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Meck Sadiq akimkabidhi cheti...
11 years ago
Michuzi08 Sep
GREEN WASTE PRO ltd WAENDESHA KAMPENI YA WIKI TATU YA KUFANYA USAFI KATIKATI YA JIJI

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd. wadau na wananchi wakijipanga tayari kuanza kampeni ya wiki tatu ya kusafisha maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi ikiwa ni awamu ya kwanza kwa mwaka huu kabla ya kuelekea kwenye kata nyingine mbili zilimo ndani ya manispaa ya Ilala wakishirikiana na wananchi.
Na Mwandishi wetuWILAYA ya Ilala imeanzisha kampeni ya wiki tatu ya usafi katika maeneo yaliyopo katikati...
11 years ago
Dewji Blog22 Sep
Green Waste Pro Ltd wakamilisha kampeni ya usafi kwa ufanisi, TICTS nao washiriki
Baadhi ya wafanyakazi Kampuni ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) wakiwasili kwenye ufukwe wa bahari ya hindi maeneo Kata ya Kivukoni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kusafisha fukwe hizo katika kuhitimisha kampeni usafi iliyokuwa ikiendeshwa na Kampuni ya Green Waste Pro Ltd mwishoni mwa juma.
Na Mwandishi wetu
KAMPENI kubwa ya kuhamasisha usafi iliyokuwa inaendeshwa kampuni ya Green Waste Pro Ltd katika kata tatu za katikati ya jiji imemalizika kwa ufanisi mkubwa kiasi cha...
11 years ago
GPL
GREEN WASTE PRO LTD WAENDESHA KAMPENI YA WIKI 3 YA KUFANYA USAFI KATIKATI YA JIJI
11 years ago
GPL
GREEN WASTE PRO LTD WAKAMILISHA KAMPENI YA USAFI KWA UFANISI, TICTS NAO WASHIRIKI
11 years ago
Habarileo27 Jul
Shule za Green Acres zadaiwa kutiririsha maji taka
SHULE za Msingi na Sekondari za Green Acres zilizopo Tegeta Salasala, jijini Dar es Salaam, zinadaiwa kutiririsha maji ya kinyesi kupitia mkondo wa maji ya mvua. Imeelezwa kuwa tabia hiyo inaathiri makazi ya wananchi waishio eneo jirani na shule hizo.
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...