Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


H. Baba: Tunazaa kwa mipango na Flora

h-baba na floraNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
STAA wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’, ni kama amejibu maneno yaliyokuwa yakizungumzwa na mashabiki wake juu ya ujauzito wa mkewe, baada ya kudai kuwa wanazaa kwa mipango.
H.Baba aliyasema hayo hivi karibuni na kusema kuwa yeye na mkewe ambaye pia ni mwigizaji wa filamu, Flora Mvungi, wamepanga kuzaa kulingana na mahitaji yao na muda wautakao, hivyo maneno yanayosemwa juu ya Flora kubeba mimba mtoto wao Tanzanite akiwa bado mdogo ni kuwakosea na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FLORA, H-BABA WAMFUNIKA WEMA KWA MJENGO

Stori: Gladness Mallya HESHIMA! Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa. Mjengo wa wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi-Jogoo, jijini Dar, H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua...

 

11 years ago

GPL

FLORA: NINGEMKOSA H. BABA, NINGEYUMBA

Stori: Imelda Mtema
UA la Bongo Movies, Flora Mvungi amefunguka kuwa anashukuru Mungu kumpata mume mwema, Hamisi Baba ‘H.Baba’ kwani vinginevyo angeyumba kimaisha. Flora Mvungi na mumewe H. Baba. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Flora alisema H. Baba ni mwanaume anayestahili sifa zote hivyo endapo angekutana na mwanaume mwingine basi angeyaona mapenzi machungu. “Mungu hakukosea kuniletea H. Baba,...

 

10 years ago

CloudsFM

H BABA NA FLORA MVUNGI: WAPEANA TUZO

Msanii Hamis Baba ‘’H.Baba’’ na mkewe flora mvungi jumamosi iliyopita walipeana tuzo zilizojulikana kama Tuzo Za Familia tukio lililofanyika kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View Hotel. Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali kama rais wa shirikisho la wasanii Tanzania, Simon Mwakifamba na watu wengine.

 

11 years ago

GPL

H-BABA, MKEWE FLORA MVUNGI NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

STAA wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan a.k.a H. Baba na mkewe Flora Mvungi muda huu wapo ndani ya GLOBAL TV ONLINE. JE, WEWE MSOMAJI WETU UNGEPENDA WAJIBU MASWALI YAPI?

 

9 years ago

Bongo5

Flora Mvungi amzuia H.Baba kuichezea Toto African

H.Baba amesema ameshindwa kuichezea klabu yake ya ligi kuu Tanzania bara ‘Toto African’ ya jijini Mwanza msimu huu kutokana na sababu za kifamilia. Muimbaji huyo ambaye alisema ataonekana akiichezea klabu hiyo katika msimu huu wa ligi, ameiambia Bongo5 kuwa, mke wake amemkataza kufanya hivyo. “Mke wangu Khadija (Flora) alikataa nisicheze mpira kwa sababu alisema nitakuwa […]

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA H BABA, FLORA MVUNGI

GLOBAL TV ONLINE ilipowaweka kati H Baba na mkewe Flora Mvungi ndani ya kipindi chake cha MTU KATI. Kujua nini walichofunguka, angalia video hii! KUANGALIA VIDEO NYINGINE ZA GLOBAL TV ONLINE, TEMBELEA HAPA: GLOBAL TV ONLINE

 

10 years ago

Bongo5

Picha: H.Baba na mkewe Flora Mvungi wapeana tuzo, sherehe zafana

Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi Jumamosi ndani ya Giraffe Ocean View Hotel wamefunga ukame wa tuzo kwa kupeana wenyewe kwa wenyewe baada ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na filamu. Rais wa shirikisho la wasanii Ado Novemba akimkabidhi tuzo ya msanii bora wa kutumbuiza H.Baba Tuzo […]

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili

H.Baba amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na 255 ya XXL leo, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake. “Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa tena,” alisema. “Nikwambie kitu kimoja mimba […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani