Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


H MAMA AZINDUA KWA MBWEMBWE WIMBO WA ‘KIDOGO’ MAISHA CLUB DAR

H Mama akiimba kwa hisia wakati wa uzinduzi wa wimbo wake wa ‘Kidogo’ katika ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.  H Mama ambaye jina lake halisi ni Flora Mvungi, ni mke wa mwanamuziki H Baba.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND YA ZINDUA VIDEO YA WIMBO WA "NITAKUPWELEPWETA" NDANI YA MAISHA CLUB




Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya new maisha club.
Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club jana... hakika bila nyinyi...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha pamoja na Maisha Club za Tanzania, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Miasha Club za Tanzania, Allan Ngugi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda Idd Mosi kuzindua Club mpya ya Maisha Basement zamani New Maisha Club

Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.

  Mratibu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.  Mratibu wa...

 

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH KUKINUKISHA MAISHA CLUB LEO KATIKA UTAMBULISHO WA WIMBO WAKE MPYA 'FOR YOU'

Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’.
NGULI wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila 'Q-Chillah' leo anatarajia kutambulisha ngoma yake mpya iitwayo 'FOR YOU' ndani ya Maisha Club, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ngoma hiyo imefanyika katika studio za Mazuu Records. Shoo hiyo itasindikizwa na wanamuziki BANANA ZORO,…

 

10 years ago

Vijimambo

AKINA MAMA WA MENNESOTA WASHEREHEKEA SIKU YAO KWA MBWEMBWE

Mama akipiga ngoma kwa ustadi kabisa siku ya akina mama dunia huko pande za Minnesota  Akina mama usharika wa kiswahili wakimsikiliza mama mwenzao katika sherehe za siku ya akina mama duniani.
 Akina mama wakipa ukodak kwenye sherehe hiyo Akina baba nao walikuwepo kwani palipo akina mama akinababa uwepo kutoa support. Mama akismile mbele ya ukodak kiroho safi

 

11 years ago

GPL

JOSE CHAMELEONE AFANYA MAKAMUZI MAISHA CLUB DAR

Msanii mkubwa wa Uganda, Joseph Mayanja 'Dr Jose Chameleone' akitoa burudani usiku wa kuamkia leo Maisha Club jijini Dar. ...Burudani ikiendelea ndani ya Maisha Club.…

 

10 years ago

GPL

SHOO YA MRS. MABESTE ILIVYOFANA NEW MAISHA CLUB DAR!

Msanii wa Bongo fleva, Kadja Nito akitumbuiza. Mmoja wa wasanii waliohudhuria akiwapagawisha mashabiki. Msanii Mirror akifanya mambo jukwaani.Msanii Ali Kiba akiteta jambo na mmoja wa mashabiki wake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani