Habari kuhusu Tanzania, iliyovutia wasikilizaji wengi hapa Marekani
![](http://3.bp.blogspot.com/-qsiMbHiTyVs/VVpC3-_N7DI/AAAAAAAAIpk/t-9BuuST_Do/s72-c/NPR%2BStory.jpg)
Photo Credits: The Center for Global Development via NPR Leo asubuhi kwenye kipindi cha MORNING EDITION kinachotayarishwa na kutangazwa na kituo cha Radio ya Jamii hapa Marekani (NPR), kulikuwa na habari kuhusu Tanzania. Na kwa mujibu wa maoni ya wasikilizaji kwenye tovuti yao, habari hii imeonekana kupata pongezi nyingi juu ya kile kinachoendelea huko.
Hii ni INTRO ya habari hiyo, na kisha, isikilize.
"The United States may have something to learn from Africa about democracy. People in...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Marekani yaahidi zawadi kwa habari kuhusu al-Shabab
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZSTtdIFRLmk/VM5lyHoP6uI/AAAAAAADXBA/L2bHxkFl5CU/s72-c/uhuru%2Bna%2Bumoja.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA UJERUMANI HAPA NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZSTtdIFRLmk/VM5lyHoP6uI/AAAAAAADXBA/L2bHxkFl5CU/s1600/uhuru%2Bna%2Bumoja.jpg)
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600 20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais...
9 years ago
MichuziCHADEMA tawi la MAREKANI yakanusha Taarifa kuhusu kuwapokea Dr Wilbroad Slaa na Mheshimiwa Freeman Mbowe hapa
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-T1H1Wa5WEtc/VKvmw9K4rSI/AAAAAAADLYI/IcZ-5SgQs1U/s72-c/viewer%2B(5).png)
TAARIFA MAALUM YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-T1H1Wa5WEtc/VKvmw9K4rSI/AAAAAAADLYI/IcZ-5SgQs1U/s1600/viewer%2B(5).png)
Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Chama cha Upinzani cha CHADEMAla leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila.Habari hiyo inadai kuwa Ikulu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteua Mwenyekiti wa Bodi...
10 years ago
CloudsFM24 Oct
MAREKANI WASHANGAZWA NA STORI ZA T.I KUHUSU TANZANIA, AKANUSHA KUWEPO KWA EBOLA
Baada ya kurudi Marekani msanii huyo amekuwa akiulizwa mara nyingi kuhusu ishu hiyo ya Ebola na yeye amekuwa balozi mzuri wa Tanzania kwa kukanusha uvumi ambao huenda...
5 years ago
CCM Blog![](https://3.bp.blogspot.com/-m80E_pEiYrw/Xoa4sR7OsJI/AAAAAAACJoo/U-eHO3hobNoIa1PErvkiGa2PBvu6GVmIQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Shirika la Habari la Marekani la Internews laendesha mafunzo ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu kwa waandishi wa ZNZ
Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kitabu cha Sheria cha Tanzania na cha Zanzibar ambavyo vinawapasa waandishi wa habari kuvisoma na kuzitumia sheria hizo katika kuandika habari za Uchaguzi Mkuu kwa usahihi.
Mkufunzi na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa mada katika mafunzo ya siku tano juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na...
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge