HABARI TOKA TELEVISHENI MBALIMBALI LEO
![](http://img.youtube.com/vi/4qNmXt_Rk1o/default.jpg)
Star TV: Mgombea Uraisi Zanzibar Dkt. Ally Mohamed Shein aahidi kuendelea kulinda katiba ya Zanzibar na mwafaka wa serikali ya Umoja wa kitaifahttps://youtu.be/ceErRUcjnHE
TBC: Mahujaji watarajiwa washindwa kufanikisha safari ya kwenda kuhiji Mji Mtakatifu wa Makka baada ya kutelekezwa na wakala wao. https://youtu.be/RwYsbOmNTKk
Star TV: Serikali imeziagiza mamlaka za mdhibiti wa nishati ya maji EWURA na wadau wa uzalishaji wa nishati ya Gesi kushusha bei ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/YrZL-pTqwUw/default.jpg)
SIMU TV: HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO
Wakazi wa Arumeru Mkoani Arusha wameiomba serikali kupitia Mpango Wa TASAF kuongeza wigo wa msaada wa fedha kwa wazee. https://youtu.be/wcopmoLBTDk
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani Geita chajipangwa kutumia askari wasiovaa sare ili kudhibiti mwendokasi wa Madereva https://youtu.be/Pkugvqgn5Fo
Mchezo uliopigwa kati ya wenyeji Sudani Kusini dhidi ya Mauritania wavunjika kutokana uwanja kujaa maji ya mvua ilionyesha hapo jana: https://youtu.be/XJQMbuvYOkE
Bondia Man Pacquiao ameweka...

10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/y6lC3MLU5js/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Eu8gqh4Ex28/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Hylw4hR1ZTM/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/9E0S1n4Bqto/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/IAUBveMznrg/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.
Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu October 23, 2015.Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kukabana koo na Mabingwa wa Ligi kuu soka Klabu Ya Yanga baada ya kufikisha Pointi 19 sawa na YangaTimu Ya soka Ya Stand United ya shinyanga imrjinasibu na kusema wembe ni ule ule wa ushindi ili kushika usukani wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. https://youtu.be/GDoHdphwLMA Timu ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi ya kujinoa kuikabili Aljeria...
9 years ago
Michuzi22 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 22, 2015.
Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Asubuhi Hii October 22, 2015.
SIMUtv: Fuatilia mwenendo na uchambuzi wa kampeni za vyama mbalimbali za lala salama baada ya kusalia masaa 48 kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu
SIMUtv: Katibu wa chama cha madereva TADU, Rashid saleh akizungumzia vitendo vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji kuwaadhibu madereva: https://youtu.be/ne2li6v5HN8
SIMUtv: Tambua namna ambayo Nchi imejiandaa kulinda amani siku ya uchaguzi zikiwa zimesalia...

Michuzi18 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 18, 2015.
Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Usiku Huu October 18, 2015.
Spika wa Bunge la Tanzania Anne makinda na Viongozi wa Vyama na serikali washiriki katika mazishi ya Mbunge wa Ludewa Marehemu Deo Filikunjombe. https://youtu.be/p_E20X5YaNE
Wastani wa wanawake milioni 1 duniani huugua wa saratani huku asilimia kubwa ya vifo vya wanawake hutokana na saratani ya shingo ya kizazi. https://youtu.be/ytCtaSi6qJs
Waziri mkuu Mizengo Pinda amewaasa viongozi wa serikali...

Michuzi21 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 21, 2015.
Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Asubuhi Hii October 21, 2015.
SIMUtv: Tanzania imetajwa kutofanya vizuri katika utoaji wa huduma kwa wazee katika Nyanja mbalimbali hususani Afya na Mazingira. https://youtu.be/cnYXI1-elnI
SIMUtv: Rais Jakaya Kikwete ameliagiza Jeshi la Polisi nchi kufanya kazi kwa weledi ili kuhakikisha Taifa linamaliza uchaguzi Mkuu wa Amani na utulivu https://youtu.be/ktVuerobzYY
SIMUtv: Mgombea Urais CCM Dkt. John Magufuli awaondoa hofu...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania