Habre: Kesi imeahirishwa hadi Septemba
Kesi dhidi ya rais wa zamani wa Chad,Hissene Habre,iliyotazamiwa kuendelea leo huko Senegal imeahirishwa tena hadi mwezi Septemba
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Al Jazeera:Kesi Imeahirishwa tena
10 years ago
MichuziTreni ya abiria imeahirishwa kuondoka hadi kesho Januari 14, 2015
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa safari hiyo ni ajali ya treni ya mizigo iliyotokea leo Jumanne Januari 13, 2015 saa 9 alasiri maeneo ya Stesheni ya Pugu Mpiji ambapo mabehewa matatu ya treni ya mizigo iliyokuwa inasafiri kwenda Bara yaliacha njia na moja kuanguka...
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
Kesi ya Habre yaanza leo
10 years ago
MichuziTRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Kesi ya akina Mramba Septemba 9
KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, inatarajia kuendelea kusikilizwa Septemba 9 hadi 12 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo19 Sep
Hukumu kesi Bunge Maalum Septemba 22
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Septemba 22 mwaka huu kutoa uamuzi wa ombi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma. Jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Dk Fauz Twaib pamoja na Aloysius Mujulizi limeridhia hivyo jana baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.
10 years ago
GPLKESI YA PONDA YAAHIRISHWA MPAKA SEPTEMBA 22
9 years ago
MichuziTRENI YA ABIRIA YA LEO YAAHIRISHWA HADI KESHO SEPTEMBA 12, 2015 SAA 11 JIONI!
10 years ago
Michuzikesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014
Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...