Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hafla ya kukabidhi Mgodi wa Resolute kwa Chuo cha Madini Dodoma

Na Asteria Muhozya, Nzega Mgodi wa Resolute uliopo Wilayani Nzega Mkoani Tabora jana tarehe 12 Desemba, 2014, ulikabidhi eneo la Mgodi kwa Chuo cha Madini Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, anayeshughulikia madini Stephen Masele.Wengine walioshuhudia ni, Mkuu wa Wilaya ya Nzega aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Bituni Msangi, Viongozi Waandamizi wa Wilaya ya Nzega, Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje, Kamati ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUKABIDHI CHETI CHA MSHINDI WA URAIS 2015

Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;    Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; Hafla MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato  wa uchaguzi mkuu mwaka  2015;https://youtu.be/Lg8d2m1YwgE STAR TV: Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUWA MGENI RASMI, HAFLA YA KUKABIDHI HUNDI ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda atakuwa mgeni rasmi katika hafla iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini ya kukabidhi hundi za ruzuku ya Dola za Marekani 500,000 kwa wachimbaji wadogo 11 waliokidhi vigezo.
 Hafla ya Utoaji wa hundi hizo kwa wachimbaji wadogo itafanyika mjini Dodoma tarehe 9/4/2014 katika Chuo cha Madini ambapo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiambatana na Naibu Waziri anayeshughulikia Madini, Stephen...

 

11 years ago

GPL

ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake nchni India pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar… ...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA

1Kaimu Mkuu wa Chuo Mzumbe Prof. Josephat Itika akizungumza katika hafla ya kikundi cha wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 2Wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 wakimsikiliza Prof. Josephat Itika wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 4Wana kamati waliondaliwa kwaajili ya kufungua shampeni wakati wa hafla hiyo. 5Naibu ...

 

9 years ago

Bongo5

Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua

Chuo kikuu cha Dodoma kinatarajia kuzalisha umeme wa jua utakaoweza kuzalisha megawati 50. Mradi huo mkubwa unatarajiwa kujengwa na kuwa mkubwa kuliko chuo chochote kuwahi kujenga ndani ya eneo la chuo duniani. Megawati hizo zitatumika kwa kuanzia kusambaza umeme kwenye mabweni, madarasa ya kufundishia, sehemu za kufanyia tafiti na eneo la madawa au huduma za […]

 

10 years ago

GPL

JK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya  Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAIMARISHA ULINZI KATIKA TUKIO KUKABIDHI RASIMU YA KATIBA KWA MH. RAIS

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME  - SACP ameeleza kuwa kutokana na tukio la kihistoria ambalo litafanyika tarehe 08/10/2014 ambapo Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE na Mh. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr. ALLY MOHAMED SHEIN watakabidhiwa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mkoa wa Dodoma hususani Dodoma Mjini.
Kamanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani